PIKIPIKI YA DEREVA BODABODA ILIVYOKUWA NDANI YA MFEREJI BAADA YA KURUSHWA KWENYE MTALO
BAADHI YA WANANCHI WAKIANGALIA PIKIPIKI ILIVYOTUPWA KWENYE MTALO HUKU NYUMA IKIONEKANA GARI HIYO
UMATI WA WAKAZI WA IGOMELO WAKISHUHUDIA AJALI HIYO
HII NDIYO GARI ILIPATA AJALI YA KUGONGA MWENDESHA BODABODA NYENYE NAMBA T915CTU .
BAADHI YA WANANCHI WAKIANGALI NYUMA GARI HIYO .
HII NDIYO KIJIWE CHA MAREHEMU CHARLES DAUD JILALA MAENEO YA IGOMELO .
MKUU WA USALAMA BARABARANI ROBERT SEWANDO AKIANDIKA MAELENZO TOKA KWA MASHUHUNDA WA AJALI HIYO .
BAADHI YA WAKAZI WA IGOMELO WAKISHANGA JINSI AJALI HIYO ILIYOTOKEA .
MWILI WA MAREHEMU CHARLES DAUD JILALA UKIWA UNAPELEKWA KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHI MATI KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA KAHAMA
KAHAMA
Kijana moja alitabulika kwa jina la Charles Daud mkazi wa igomelo miaka (32)wilayani
kahama mkoani shinyanga .
Amefariki hapo hapo kwa
kugongwa na gari ndogo aina ya mark 2
namba T915 CTU Mali ya AHMEND Rendis ,eneo la igomelo akiwa akiendesha pikipiki
toka igomelo Majira ya jioni saa 12.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo Gidion Yakobo alisema
kuwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi wa hilo gari lilokuwa linatoka eneo
la mazense kuja mjini lilipofika eneo hilo likuwa linakwenda upande upande wa
kuli ambapo kijana huyo alikuwa na abiri akimshusha na kupewa nauli yake wakati
nachukua hela dipo gari hilo lipo wangonga.
Akifafanua zaidi Gidioni alisema kuwa hiyo gari hilo likuwa
mwendo kasi sana jambo ambalo kila mtu alishangaa mimi nipo hapa igomelo napaki
naye hapa huyu marehemu kwa karibu sana kwa kweli huyo mwenye hiyo tax namba
T915 CTU na kusema huyo dereva alikimbia kuona hali imekuwa tabu.
Aidha kwa upande wa mashunda wengine ambaye ni mwenyekiti wa
ccm kata ya malungu Dornad Igulu alisema kuwa barabara hii ya igomelo imekuwa
ni tatizo ni nzuri madereva wanakimbia
sana bila kujali waendeshaji wa pikipiki na waenda kwa miguu na hata kujali
watoto wa shule alisema igulu.
“Hunajuwa hili barabara kwa mwaka huu kuna watu zaidi ya wanne wamekwisha poteza maisha hii ni kwa sababu ya kukosa matuta,kumekuwa na kero kwa watembea
kwa miguu hiyo tunaomba serikali kulingali kwa ukaribu suala hili .alisema
Mwenyekiti huyo wa ccm kata ya malunga”.
Na kwa upande wao wananchi wa eneo hilo la igomelo wameoba
mkurungezi wa Halmashauri ya mji kuweka matuta kwani kuna siku haya magari
yatakuja kufanya ajali mbaya sana ,hili suala bila kulitilia maanani ni hatari
sana walisema wananchi hao kwa hasira kali sana .
Aidha kwa upande wake jeshi la polisi wilaya kahama
limethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema mtuhumiwa wa ajali anashikiliwa
na jeshi la polisi juu ya tukio hilo la ajali.
Kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga Justus kamungisha
kuthibitisha kwa ajali hiyo na kumtaja marehemu Charles Daudi jilala mkazi wa
igomelo ajali hiyo ilitokea majira ya jion na aligongwa na gari T915 CTU mali
ya Ahmend Rendis mkazi wa kahama.
Aidha kamanda kamungisha amesema uchunguzi hukishakamilika
mtuhumiwa hatafikishwa makamani kujibu shitaka lake hilo.
Mwisho .
No comments: