Baadhi ya kinamama wa kata ya igomelo wakiwa katika heka heka ya maji katika halmashauri ya mji wa kahama na vitongiji vyake kukukosa maji kwa zaidi ya siku tatu mfururizo sasa wakina na ndoo za maji bila ya mafanikio
Hii ndiyo haza ya maji kahama kama jinsi wakinamama wanavyoangaika na zoezi la maji katika mji wa kahama .
Wakinama wa kata ya Nyihongo wakiwa wamekalia ndoo zao hawajui hatima yao ya maji kwa siku ya leo na wasijui la kufanya .
Baadhi ya kinamama walifika katika kisima kimoja malungu kwa ajili ya kupata maji toka alfajiri bila mafanikio yoyote wakiwa na watoto wao .huku jua likiwapiga
.
Wananchi wa wilaya ya kahama mkoani shinyanga wamelamikia
Tatinzo la maji kukati bila taarifa zozote toka mamlaka husika ya maji zaidi ya
siku mbili bila ya tarifa yoyote ile .
Haya yemesemwa na wakazi wa kata ya malunga ,igomelo
,nyanhanga , na kahama mjini, wakati wa
kutafuta maji katika sehemu mbalimbali za maeneo ya kahama .
Mkazi moja ambaye alijitabulisha kwa jina la mama Athumani
(fatuma)katika eneo la kisima cha igomelo makaburini alisema kuwa wilaya ya
kahama inatatizo kubwa sana la kukatika kwa maji pindi chote chote kile maji
wanakata bila taarifa yoyote ile kwa kweli hili ni tatizo sana unaweze kuona
maji hakunas kesho umeme hakuna hata siku tatu au nne jambalo ni kero alisema
Fatuma .
Aidha kwa upande wa maeneo ya nyahanga hapa mjini imekuwa
kero kubwa sana hapa mtu yoyote hukimuliza jambo ambalo mtu wa kahama
linamchukiza basi ni maji na umeme kero kubwa .
“hebu fikiria maji leo yana siku tatu mji kubwa kama huu
hakuna hata taarifa zozote juu ya suala hili la maji wa umeme sijui wanatonaje
sisi watu wa kahama hii kero sana hata hawa wakubwa kuna la kueleza.’’
Baadhi ya maeneo ya mjini mkazi moja juma ally amesema kuwa maji na umeme kwa
kahama imekuwa kama janga jambo ambalo ni kitaifa kwa kahama leo hii umeme
umekati kahama siku tatu bila majibu kutoka kwa meneja lakini kwenye matangazo
ya kulipa bill za maji na umeme wanapita na magari usiku kucha.
“hebu jiulinze hizo hela za matangazo wao wanazipata wapi
?Wakati maji hakuna au kuna tatizo lolote la maji aume kwanini wasitutangazie
wananchi wakaifazi hayo maji kuliko kukatika tu maji aume bila kutoa taarifa
hii ni hatari sana alisema juma Ally .
Kwa upande wake meneja
wa mamlaka ya maji wilaya kahama Eng Joel Rugemarila ,alisema kwa njia ya simu
toka iringa kuwa tatizo la kukatika kwa maji ni kwenye chanzo cha maji ilehele ,umeme kule umekuwa ni mkubwa
kiasi ambacho kinawenza kuleta madhara makubwa na kuona mafundi kuzima mashine
hizo za maji na kuita mafundi toka tanesco shinyanga kwa ajili ya matengenezo
hayo alisema Eng. Joel Rugemarila.
Na kwa upande wa meneja wa tanesco wilaya sule kabati amesema kuwa tatizo la umeme kahama ni mvua
kuwa kubwa na upepo ambapo nguzo zetu uhanguka na kuharibifu mkubwa wa miudo
mbinu ya umeme kuharibika na kufanya kazi kuwa ngumu sana kuinua nguzo hizo za
umeme,hunajua suala la umeme kahama wa kati mwingine ni kutoka katika njia
kubwa ya umeme mimi sina jibu kwa hilo ni mambo ya kiutalamu hayo kutoka huko kwe
chanzo cha umeme kidato .alisema Eng Sule kabati, alisema.
Mwisho
No comments: