Mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya akiwa katika ofisi yake kabla makabidhiano hayo.
Mkuu wa wilaya akisikiliza jambo kwa umakini kabla kufukuzwa kwa muandishi wa habari wa blong hii kwa amri ya DC kutoka nje ya ukumbi huo.
Hii ndiyo check iliyotolewa na mgodi wa Buzwagi leo asubuhi
Hawa ni baadhi ya wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya kahama na wajumbe wengine kabla ya kuanza kikao hicho saa 4 asubuhi
Febraury 27,2015
KAHAMA
Mgodi wa
Dhahabu wa Buzwagi Unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia Gold mineg imeaza kulipa
ushuru wa mali ghafi katika halmashauri ya mji wa kahama.
Hayo yalisemwa
na kaimu meneja mkuu wa mgodi wa buzwagi wakati wa makabidhiano wa hudi ya
shilingi milioni 843.196 ,808 kwa halmashauri ya mji wa kahama kama ushuru wa
huduma cha asilimia 0.3 ya mapato ya halmashauri.
Aidha
Makabidhiano hayo yalifanyika katika ofisi ya mkuu wa wilaya ya kahama mbele ya
wajumbe wa kamati ya ulinzi na wakurungezi wa halmashauri tatu za ushetu
,msalala ,na mji na wajumbe mbali mbali wakiwemo wanahabari .
No comments: