Mh Edward lowassa akiwasili kutoka nyasa katika kijiji cha lituli kuna maelfu ya wanachi wamefika katika kijiji hicho kwa ajili ya mazishi hayo.
Karibuni Mh lowassa akingia katika kijiji cha lituli.
Baadhi ya viongozi wa serekali wakiwa katika eneo ambalo limepangwa kwa ajili ya kupumzika na kuanza mazishi hayo .
Marehemu kapten john komba kabla ya mauti kumfika siku ya jumamosi jiji dar.
Kukana nyansa kijiji cha lituli watu wasipungua zaidi elfu
moja waohudhuria mazishi hayo katika mazishi hayo baadhi ya viongozi walidhuria
mpaka sasa ni Endward lowassa,spika wa bunge.Anna makinda,mwenyekiti wa ccm
mkoa wa shinyanga khamis mgeja ,mwigulu mchemba,Jenife mhangama ,Abdurhahman
kinana na baadhi ya viongozi toka Zanzibar mazishi hayo nafanyika saa kumi
kamili leo.
No comments: