Corretha musa ( 29)akiwa wodi namba saba na mtoto wake emmanuel yohana miezi 11 alinusulika na moto huku kaka yake marehemu Ezekiel yohana miaka miwili na nusu alipoteza maisha .
Yohana Emmanuel akiwa wodi akitafakali jinsi janga hilo la moto lilivyotokea na kupoteza mtoto wake .
Eneo la nyumba jinsi lilivyoteketea na Moto eneo la kijiji cha shunu kata ya nyahanga wilayani kahama .
Baadhi ya vitu vilivyookolewa na wasamalia wema usiku wa leo .
Helisia japhet ambaye aliwenza kuokoa ngodolo moja na ndoo na kiti kimoja tu na vitu vingine vimeteketea vyote.
Wakazi wa eneo la shunu nyahanga wakishundia jinsi nyumba hiyo ilivyoshika moto na kuwacha majivu .
Eneo la kifusi cha mabaki ya nyumba kama jinsi yanavyonekana na baadhi ya wakazi wakishuhudia.
Bwana Joasi Thobias akiwasili nyumbani kwake ambapo alikuwa kazini kwake maeneo ya mjini kahama ambapo amini kilichotokea nyumbani kwake eneo la shunu nyahanga.
Hata miti mbiji nao uliteketea kwa moto huu
ALfajili moto huu ulikuwa unaendelea kuwaka katika eneo hilo huku wakazi wa eneo hilo wakishuhudi hali hiyo .
Mume wa Halisia akiwa amini kilichotokea hapo nyumbani.
Baadhi ya vitu vilivyokolewa na jamaa walifika kuokoa .
Wakazi wa eneo hilo wakiwa juu ya mabaki ya mabati juu ya nyumba hiyo .
Hii ndiyo hali hali ya eneo hili kama jinsi inavyonekana eneo la shunu nyahanga.
NB BWANA EMMANUEL YOHANA ANAOMBA MSAADA WOWOTE KWA MTU ALINGUSWA NA SUALA HILI AKIWA AMEPOTEZA MTOTO WAKE WA KIUME NA KILA KITU VIMEUNGUA KWA MOTO ANA NGUO NYENYE NA MKE WAKE KWA MASILIANO NAMBA YANGU NI VODA ....0764.330.730 ENDELEA KUONGALIA BLOG HII KWA HABARI ZAIDI KWA MATUKIO MBALI MBALI
No comments: