Najua hapa Mtama kunao wanaccm,nawaambieni wafikirieni watoto wenu,wajukuu kuendelea na ccm nikuwatesa watoto -
Ummati wa wakazi wa jimbo la Mtama wakiwa na Furaha kubwa wakisikiliza sera za chadema
Baadhi ya wangombea ubunge jimbo la mtama selemain mathew wa Chadema na isaka Rashid wa CUF wakiwa na mgombea urais kupitia ukawa Edward Lowassa katika viwanja vya majengo soko la zamani
Mgombea wa cuf isihaka Rashid akiwa na mgombea urais kusema kero za wana Mtama
Mgombea ubunge kupitia chadema Selemaimani Mathew akihubia wakazi wa jimbo la Mtama kabla ya mgombea Urais Edward lowassa kuwasili eneoo la mkutano .
Vijana wakiwa juu ya mti kukuakikisha mgombea urais wa umoja wa katiba ya wananchi ukawa Edward lowassa wanamuona kwa Njia yoyote hile
Maelfu ya wanachama wa Ccm Jimbo la Mtama wameamua kurudisha kadi zao na kuunga Mkono
Khamis mgeja akitoa sababu za kuhama ccm katika uwanja wa majengo soko la zamani
Baadhi ya mabango yaliondikwa na wakazi jimbo la mtama
Tunafanya Tambiko kwa wakazi wa jimbo la mtama kumpingia kura mgombea wa ukawa Edward lowassa katika viwanja vya majengo Mtama soko la zamani .
Tambiko
Salumu Nmtitili wakifanya Tambiko katika uwanja wa majengo soko la zamani na kikundi cha ngoma Amani Dance Group.
No comments: