Ummati mkubwa wa wakazi wa jimbo la Hai katika viwanja vya michezo machame
Mke wa mgombea urais kupitia chadema Regina Lowassa Asante ndugu zangu wa Hai
" wakati ni sasa kuwa tayari kuanza maisha mapya"
Tuchague kaka mbowe
"Askari wote tunajua pia nyie mnayo matatizo,tunaomba mtende haki msipendelee chama utawala" - Mbatia - Boma Hai
Ulinzi safi ukawa
Mkazi wa machame akiwa na familia yake wakati mgombea urais chadema Edward Lowassa wakati wa kuelekea kwenye mkutano wa kampeni
Ujumbe wa wakazi wa Hai
Tunaimarisha ulinzi na usalama machame kwenye mkutano wa kampeni jimbo la Hai kupitia mgombea Urais Edward Lowassa ambapo alifanya mikutano katika kiwanja cha michezo machame
2010~2015 amefanikisha vijiji 23 Kupata umeme kupitia mamlaka ya usambazaji wa umeme vijijini REA, (Rural Energy Authority).
"Huwezi ukafanya Mabadiliko ndani ya ccm,huwezi kusukuma gari ambalo umelipanda ndani yake" Mbatia - Hai
"Wananchi wanataka serikali itakayowajibika kwa umma,sio wananchi kuwajibika kwa serikali yao" Sumaye - Boma Ha
No comments: