Sera zinazo tekelezeka za Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa.
Ummati tunasikiliza sera
Kiteto mnayo maji safi na salama, watoto wanapata elimu bora? Kinana
anemesema kuna mawaziri mizigo kwa nini anawashtakia wananchi - Sumaye
Wakazi wa , Jimbo la KitetoMkoani Manyara wakimsikilza Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe. Lowassa
Tulieni ni maneno ya askari polisi wananchi wakiwa na shauku kubwa la kutaka kumuona mgombea Mgombea urais Edward lowassa
Wafungaji Wakiwa na furaha kubwa baada ya mgombea urais Edward lowassa kuwasili katika jimbo la kiteto
Kiteto mnayo maji safi na salama, watoto wanapata elimu bora? Kinana
anemesema kuna mawaziri mizigo kwa nini anawashtakia wananchi - Sumaye
Katibu wa chadema mkoa wa manyara mwenye miwani akiteta jambo na mgombea urais Edward lowassa katika viwanja ya shule ya msingi kibaya kabla ya kuanza kwa mkutano wa kampeni
Tusubiri uongozi toka juu ni maneno ya mgombea urais wa umoja wakatiba ukawa Edward lowassa akiwambia wangombea ubunge jimbo la kiteto wa Chadema na CUF
Lowassa
Natambua kuwa uongozi ni dhamana. Mkinichagua nitaienzi dhamana hiyo kwa utendaji uliotukuka
Kiteto mnayo maji safi na salama, watoto wanapata elimu bora.
Huu ndiyo ujumbe wa wakazi wa jimbo la kiteto
Mgombea urais Edward lowasasa akiwa na wagombea wawili wa jimbo la kiteto wa CUF na Chadema baada ya kushindwa kuweka makubaliano ya pamoja nani au mgombea moja kati yao
Omba kura ndiyo maneno ambayo mgombea urais akimwambia mgombea udiwani kata ya kibaya katika viwanja shule ya msingi kibaya ambapo mgombea urais kupia ukawa Edward lowassa alifanya kampeni.
.Tupo tayari kwa mabadiliko.
Wakazi wa jimbo la kiteto Mkoani Manyara wapo tayari kwa mabadiliko.kama chupa ya chibuku kwa sasa wamekwisha fanya hayo mabadiliko kwa chibuku
No comments: