\Rajabu mbarukuu kutoka zanzibar kupitia cuf akihutubia maelfu ya wakazi wa kigoma
Mgombea ubunge kupitia ukawa jimbo la kigoma mjini Daeil lumenyela
Mh David kafulila akihutubia katika viwanja vya mwanga mjini kigoma .
Mh David kafulila akihutubia maelfu ya wakazi wa mji wa kigoma katika viwanja vya mwanga,ambapo mgombea wa kiti cha Urais kupitia ukawa Edward lowassa alikuwepo uwanjani hapo kumwanga sera zao
Mh lowerce masha akitoa ufafanusi jinsi alivyotoka ccm katika viwanja vya mwanga mjini kigoma
Mwenyekiti wa Taif Freemani Mbowe Akihutubia Maelfu ya wakazi kigoma
Maelfu ya wananchi wa kigoma wakisikiliza sera za Umoja wa katiba (ukawa) katika viwanja vya mwanga,mjini kigoma .
Mgombea wa Urais kupitia umoja wa katiba ya mwanachi ukawa Edward lowassa Akihutumbia Maelfu ya wakazi wa mjini wa kigoma katika viwanja vya mwanga
Edward Lowassa akihutubia Maelfu ya wakazi wa kigoma
No comments: