Wangombea ubunge wa majimbo la ushetu Isaya ,msalala Paulo na mgombea jimbo la kahama jemes lembeli wakiwa katika uwanja wa nyasumbi kuomba kura kwa wananchi wa majimbo yao
Mgombea urais Edward lowassa akiwasili katika viwanja vya nyasubi kwa ajili ya mkutano wa kampeni
Mgombea urais wa umoja wa katiba ya mwananchi ukawa Edward lowassa na mgombea ubunge jimbo la kahama jemes lembeli .
Mh khamis mgeja wakiteta na mgombea wa jimbo la kahama jemes Lembeli katika viwanja vya nyasunbi mjini kahama mara baada ya kuwasili katika viwanja hiyo
Mh khamis mgeja akitoa salamu za kampeni katika viwanja vya nyusubi mjin kahama
Mgombea wa ubunge jimbo la kahama mjini jemes Lembeli akionyesha fimbo ya kuwachapia ccm siku ya kupinga kura kwa wananchi .
Mh jemes Lembeli akihutubia wakazi wa jimbo la kahama muda mfupi tu baada ya kuwasili kwa mgombea urais wa ukawa Edward Lowassa ,katika viwanja vya nyasubi Stand
Ummati mkubwa wa kazi wa jimbo la kahama wakiwa katika uwanja wa nyusumbi stand
Mgombea ubunge jimbo la Ushetu Isaya akiombea kura na mgombea urais Edward Lowassa katika viwanja vya nyasumbi stand kahama
Madiwani wa jimbo la kahama kupitia jimbo la kahama mjin wakiombewa kura na mgombea Urais Edward Lowassa katika viwanja vya nyasumbi stand
Madiwani wa kata za kahama mjini wakiomba kura kwa wananchi wa jimbo la kahama
Mgombea Urais kupitia umoja wa katiba ya mwananchi ukawa Edward Lowassa akisalimia na Diwani wa kata ya mwendakulima Tabo majambi
Aliyekuwa mwenyekiti mstafu wa ccm wilaya ya kahama mwenye kibagarashia kichwani mzee musoma ,Akisalimiana na mgombea urais Edward Lowassa muda mfupi tu baada ya kuwasili katika viwanja vya nyasubi stand
No comments: