sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MAELFU YA WAKAZI WA MJI WA BUKOMBE WAFANYA MAPOKEZI MAKUBWA KWA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA.

 Mgombea ubunge jimbo la Bukombe Prof kahigi akibadilishana mawanzo na mwenyekiti mstaaf wa ccm mkoa  khamis mgeja aliahamia chadema kabla ya kuwasili mgombe urais kupitia umoja wa katiba ukawa katika viwanja vya shule ya msingi Bukombe
 Mh ole  Medeye akihubia wakazi wa jimbo la bukombe kabla mgombea Urais Edward lowassa kuwasili katika viwanja hiyo .
 Mh Rajabu mbaruku akieleza wakazi wa jimbo la bukombe kujitokeza kwa wingi siku ya kupinga kura na kuondoa chama cha ccm madarakani mwaka huu
 Ummati kubwa wa wakazi wa jimbo la Bukombe
 Katibu mkuu wa NLD Tozzy Matwanga  pia ni katibu mkuu mwenza wa ukawa
 Mh  Khamis  Mgeja akitolea ufafanuzi juu yake kuondoka ccm katika viwanja vya shule ya msingi bukombe
 Mgombea  urais aliyesimamishwa na umoja wa katiba ukawa kupitia chama cha maendeleo na Demokrasi chadema akiwasili katika wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita katika viwanja vya shule ya msingi Bukombe
 Tumewasili  Bukombe

 Waziri mkuu mstaafu Fredrick sumaye akiwapungia mkono wananchi wa jimbo la Bukombe


 Mgombea ubunge jimbo la Bukombe Prof  kahigi wakibadilisha mawanzo na mgombea urais  kupitia ukawa Edward Lowassa katika viwanja vya shule ya msingi Bukombe .
 Waziri mkuu  msatafu Fredrick sumaye akiwa na mwanasheri mkuu wa chadema Tuddu Lussu katika viwanja vya shule ya msingi Bukombe
 Mwanasheri mkuu wa chadema Tuddu Lussu akihubia umati wa  kazi wa Bukombe 
  Waziri mkuu  msatafu Fredrick sumaye akiwa  katika viwanja vya shule ya msingi Bukombe

 Ummati
 Mgombea  Edward lowassa   maelezo sera za ukawa katika kampeni yake wilaya ya Bukombe na kusema kuwa atawasaidia wachimbaji wadogodogo na wafungaji na kuleta bank ya wajasilimali

  Mzee shikamoo haya ni maneno ya wanasheria mkuu wa chadema akisamie ole medeye  mgombea Urais Edward Lowassa muda mfupi tu baada ya kumaliza mkutano wake wa kampeni jimbo la Bukombe
 Mama huyu alishindwa kujizui na kutomjali mtoto wake kwa furaha ya kumuona mgombea urais Edward Lowassa muda mfupi baada ya kuwasili bukombe 
 
Tuchague viongozi wanaotoka vyama vinavyounda UKAWA. Kwa kufanya hivyo itatupa nafasi ya kusimamia kwa uhakika Afya ya mama na mtoto.





«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply