MIMI SITOKI HAPA MPAKA EDWARD LOWASSA AJE HAPA
ANGALIA PICHA ZA MATUKIO YA MASWA AMBAPO MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MASWA MASHARIKI KASULUMBAYI AKISALIMIANA NA MGOMBEA URAIS KUPITIA UMOJA WA KATIBA YA MWANACHI UKAWA EDWARD LOWASSA
Teknolojia imepaa kuleta maji Simiyu itakuwa zaidi ya Shinyanga ule ni mfano Mabadiliko2015
Haya ni moja ya mataki ya maji yalioko katika mji wa maswa ambapo mgombea urais kupitia ukawa Edward lowassa aliyakta kwa sababu hayakuwa na ubora, Mabadiliko2015
Asanteni watu maswa kwa kujitokeza kwa wingi kwenye viwanja vya nguzo nane #Mabadiliko2015
No comments: