Angalia picha za matukio ya Tanga katika uwanja wa Tangamano mjini Tanga
Maelefu ya wakazi wa jiji la Tanga wakiwa katika uwanja wa tangamano wakisubiri mgombea urais wa chadema Edward lowassa
Muandishi wa habari akiwa juu ya nguzo za sperk ili kupata picha nzuri sababu ya kuwa na umati mkubwa ambao ijawahi tokea katika jiji la Tanga zaidi ya miaka
Hii ndiyo hali ilivyokuwa katika viwanja vya tangamano jijij Tanga
Baadhi ya majeruhi ya kuzimia nomanokatika viwanja vya tangamano
Hali ya uwanja hilikuwa hii
Baadhi ya watu walizimia katika viwanja vya Tangamano wakiwa wahapata huduma ya kwanza
Ni Zaidi ya watu 120 walipoteza fahamu katika viwanja vya tangamano jiji Tanga
Kupinga rushwa na matumizi mabaya ya madaraka katika vyombo vinavyosimamia haki za raia
Kujenga uwezo,ujuzi wa kuingia mikataba yenye tija ya uwekezaji kimataifa kubadilishana madini n.k kwa teknolojia na viwanda
Ummati mkubwa wa wakazi wa Tanga wakiwa katika viwanja vya Tangamano
Msamalia mwema akiwa na mtoto ambaye aliokotwa katika viwanja vya Tangamano wakati wa kampeni ya mgombea Urais Edward Lowassa alikuwa afanya kampeni katika viwanja hivyo na kuona umati mkubwa watu na kuonba kurudi tena
Akolewa Mtoto wa miezi mwaka moja uwanja wa Tangamano
Asante sana vurungu zilikuwa kubwa na umati mkubwa niliona mtoto sina nikachanganyikiwa na kuonza kumtafuta uwanja ndiyo mama moja alikuwa naye
Asanteni nimepata mtoto wangu
No comments: