sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » ANGALIA TUKIO LA JIONI HII KATIKA MJI WA KAHAMA KIKONGWE ANGUKA JIRANI NA HOSPITAL YA WILAYA YA KAHAMA GARI LA KUMBEBA WANGOJWA HAKUNA WASAMALIA WAMBEBA KWA KANGA

 Mjukuu Asia charles 12 akiwa na Bibi yake akilia huku asijui la kufanya baada ya bibi yake toka hospital na kuanguka chini
 Wasamaria wema wakimuangalia bibi huyo akiwa amepoteza faahamu  Fahamu karibu kambisa na hospital ya wilaya ya kahama maeneo ya Bank ya CRDB mjini kahama
 Huku  Mjukuu akiwa ana la kufanya alianza kazi ya kumpepea bibi yake huku matroni wa hospital akiomba msaanda wa gari la wangojwa bila msaanda wowote  katika eneo hilo
 Bibi huyo kwa ambaye alijulikana kwa jina la Mariamu Paulo miaka 70 mkazi wa kijiji cha mwendakuli jimbo la kahama mjini karibu na mgodi wa Buzwagi

 Hivi ndiyo mjukuu wake wakiomba msaanda kwa wakinamama kumpepea bibi yake huku baadhi ya watu waliona ni bora kumbeba kwenye khaga yake na kumhaisha hospitali
 Wasamaria wema walichukua bibi na kumpeleka katika hospitali ya wilaya ya kahama kwa matbabu zaidi
 Hata hivyo baadhi ya manesi waliokuwa wakitoka hospitali awakuwa tayari kutoa msaanda wowote na kujificha sura zao ili zionekani kama njisi wanavyoneka hapo
 weeee funguua geti hilo tunangojwa bwana hayo ni maneno ya hawa vijana ambao wakiamua kujitolea kumpeleka kikongwe huyo ,hospital  
 Tumefika Getini
 WEwe Askari tupishi sisi tuna mgojwa haraka huku Askari huyo akishangaa
 Tumefikisha Bibi
 Dr ambaye akiwenza kutambulika mara moja alianza kutoa huduma ya kwanza kwa bibi Mariamu Paulo mkazi wa mwendakulima
 ASia  Charles miaka 12 akiwa amechanganyikiwa baada ya kuona bibi yake amepoteza Fahamu akiwa hospitali .
 Nes wakitoa huduma ya haraka kwa bibi huyo pamoja na huduma hiyo ilifanya kwa haraka sana na nes moja ambaye jina lake lisomeka ni victory jina moja kwa kazi kubwa ya kuokoa maishi ya bibi huyo .
 Bibi akiwa amelanzwa kwenye chumba cha mapokezi ya Dharura katika hospital ya wilaya .
 Nes akitoa huduma ya kwanza kwa Bibi Mariamu Paulo Dada huyu ni Mfano wa kuingwa katika hospital ya wilaya ya kahama kwa huduma ya haraka kwa kikongwe huyo.
 Huduma ya kwanza


 Wasamaria wema wa mahakamani walitolea kumsaindia Bibi huyo mpaka eneo la mapokezi na kumangali na kwenda kwao na Bibi huo kwa kumsaindi mungu awabariki sana kwa kazi hiyo

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply