|
MAHUJAJI WAKISIKILZA HOTUBA YA MGENI RASM KATIKA UKUMBI WA PHN MJINI KAHAMA |
|
MAHUJAJI WAKISIKILZA HOTUBA YA MGENI RASM KATIKA UKUMBI WA PHN MJINI KAHAMA |
|
UMAKINI WA KUSIKILIZA HOTUBA YA MGENI RASMI VIJANA WA MAHUJAJI WA ELIMU |
|
Mratibu wa jitihada ya uwezo wilaya ya Kahama Mwamini
Haruna alisema mchakato wa kuwapata wahujaji kwenda kufanya tathmini katika
maeneo yaliyolengwa ambayo ni ofisi ya kijiji au mtaa,shule na kaya umezingatia
vigezo kutokana na nafasi hiyo kuwa umuhimu wake |
|
MAHUJAJI WAKIWA DARASANI |
|
Mratibu wa jitihada za UWEZO kupitia asasi ya kiraia
ya TWAWEZA Gerlad Ng’ongha alisema mafunzo hayo kwa wahujaji wa kujitolea yamelenga
kupata takwimu sahihi za ujifunzaji kwa watoto kuanzia darasa la 2 hadi la 7 ili
kufahamu uwezo wao wa kuandika,kusoma na kuhesabu. |
|
Mkuu wa shirika REICHET FOUNDATION CELINA PASCHJAL Akisikiliza Hotuba ya mgeni Rasmi |
|
Kaimu Afisa Taaluma halmashauri ya Ushetu Zacharia Ngussa wakati akifungua mafunzo ya
siku mbili kwa wahujaji 60 toka viji 20 kwa ajili ya kwenda kufanya tathmini ya
ujifunzaji mashuleni wilayani Kahama.
|
|
PICHA YA PAMOJA YA MAHUJAJI WAKUJITOLEA WAKIWA KATIKA PICHA |
|
PICHA YA PAMOJA NA MGENI RASM WA MAHUJAJI WA KUJITOLEA |
|
MAHUJAJI WAKIBADILISHA MAWANZO |
Wahujaji wa kujitolea wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa
kuyatumia vyema mafunzo wanayopatiwa na wakufunzi wao pindi watakapokuwa
kwenye maeneo watakayopangiwa ili
yaweze kuleta tija katika kuinua elimu
hapa nchini.
Hayo yalisemwa na kaimu Afsa Taaluma halmashauri ya
Ushetu Zacharia Ngussa wakati akifungua
mafunzo ya siku mbili kwa wahujaji 60 toka viji 20 kwa ajili ya kwenda kufanya
tathmini ya ujifunzaji mashuleni wilayani Kahama.
No comments: