Wakazi wa mji wa chato wakichota maji kwenye ziwa victory ambapa wilaya hii inaa miundombinu ya maji katika wilaya ya chato ambapo ndoo moja ya maji shilingi elfu moja .
Angalia matukio ya shinda ya maji
Hali hii kwa afya za wakazi wa mji wa chato ni habari kwa ajili ya kunywa maji ambayo siyo salama
Wakinamama na vijana wakiwa na mkokoteni wa maji baada ya kuchota maji hayo zaidi ya kilometa 1
Hivi ndiyo shinda ya maji licha ya kuwa karibu na ziwa lakini shinda ya maji kwa wakazi hawa wa chato ni tabu
Haya ndiyo maisha ya wakazi wa mji wa chato mkoani Geita ambapo kumekuwa na shinda ya maji kwa miaka kadha kutokana na miundombinu ya maji kuwa kwao ni kama Doto pia maji haya siyo salama kwa afya ya binadamu
No comments: