![]() |
| Chadema Kutakuwa na mkutano wa hadhara leo Jumapili 13/3/2016,uwanja wa Furahisha |
![]() |
| Wananchi wa Mwanza wakiwa wanaendelea kuwasili katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza muda huu |
![]() |
| Umati wa wafasi wa chadema wakiwa katika viwanja vya furahisha jiji mwanza |
![]() |
| Freeman Mbowe akiwasili viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, leo Jumapili 13/3/2016. |
![]() |
| Mhe. Edward lowassa akiwasili viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, leo Jumapili 13/3/2016 |
![]() |
| Meza Kuu ya Viongozi wakiwa wameshawasili katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Machi 13/2016 |













No comments: