sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » KIKAO KAZI CHA UBORA NA USAFI WA ZAO LA PAMBA

moja wa kulima na mawakala wa zao la pamba wilayani kahama akikabidhiwa cheti cha wakala wa pamba na Afisa wa ubora wa zao la pamba Maryam Mbwana katika viwanja vya kiwanda cha Nida mjini kahama  

 Wawakilishi wa makampuni ya zao la pamba wakiwa katika kikao kazi mjini kahama 

 Afisa wa ubora wa zao la pamba Maryam Mbwana akitoa maelezo kwa mawakala juu ya kutunzaji wa zao la pamba na kuhifadhi katika sehemu nzuri bila kuwa na nyuzi za kamba na viroba katika marobopta ya pamba 

 Mwakilishi wa bodi ya pamba kahama Mihayo Thadeo akiwa katika tafakari ya juu ya utunzwaji wa zao la pamba katika maghala.

 Meneja wa pamba wilayani kahama Emmanuel kileo  akieleza juu ya utunzaji wa pamba toka kwa mkulima na mawakala kuweka uchafu katika zao la pamba  

 Eng Ramadhani Dissa akitoa maelezo juu ya kutunza pamba mahali safi kuwacha kuweka maji na mchanga 

Afisa wa wakala wa  vipimo mkoa wa shinyanga Maneno mwakibete akiwaeleza kuwacha kuchenzea mizani kwa kuwaimbia wakulima wa zao la pamba 

 Mkulima kutoka Bukombe  wilayani Geita   

 Mkulima 

 Tunaandika vyeti 

 Moja wa washiriki wa makampuni za pamba akitoa maelezo juu ya ubora wa usafi wa  zao la pamba 

 Wakulima na wadau wa zao la pamba wakiwa katika kikao kazi cha ubora wa zao la pamba katika ukumbi wa Nida mjini kahama 

Wakulima wa zao la pamba 
KAHAMA

IMEELEZWA kuwa Serikali imekuwa ikipoteza takwimu halisi za zao la Pamba hapa Nchini kwa kiasi kikubwa kutokana na Baadhi ya mawakala wanaonunua zao hilo wakati wa masoko kuchezea mizani wakati wa upimaji.
Hayo yalielezwa juzi na Kaimu Meneja wa Wakala wa Upimaji Maneno Mwakibete katika Semina ya Ubora na Usafi wa Pamba kwa Wanaunuzi wa zao hilo  ngazi ya vituo vya ununuzi na Viwanda vya kuchambua Pamba iliyoaandaliwa Bodi ya Pamba hapa nchini.
Mwakibete alisema kuwa Serikali imekuwa ikipoteza Pamba nyingi wakati wa Upimaji huku fedha ikiwa ni ndogo hali ambayo inasababisha hasara kubwa kutoka na na kutokuwa na takwimu hali ya zao hilo kwa uhakika..

Pia Mwakibete aliwataka Mawakala kutokuwakimbia watumishi wa Serikali pindi wanapotembelea katika vituo vya ununuzi kwa lengo la kukagua hali ambayo inawaweka katika wakati mgumu wa kuweza kufanya kazi yao kama inavyotakiwa,.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply