By: Mohab Dominic
on 06:57
/
|
Kichanga muda mfupi tu baada ya kuzaliwa na kutupwa kwenya maji machafu kahama |
|
Afisa maendeleo ya jamii akionyesha kichanga baada ya kufikishwa katika hospital ya mji wa kahama |
|
Monge
Mdeka (30) Ndiye mama wa kichanga hicho cha siku moja baada ya kukitupa kwenye shimo la maji taka
KAHAMA
mwanamke mmoja
aliyefahamika kwa jina la Monge Mdeka (30) mkazi wa kata ya zongomela katika
halmashauri ya mji wa Kahama mkoani Shinyanga ametupa mtoto wake wa siku moja kwenye dimbwi la maji
taka.
Mkuu wa kitengo cha dawati la jinsia Koplo Ninael Kisangase
akizungumza na wandishi wa Habari alioambatana nao katika tukio hilo alielezea
kusikitishwa na kitendo hicho cha kikatili kilichofanywa na mwanamke huyo na
kudai kuwa wanawake waenzake wanaadhimisha siku yao yeye ameitumia kutupa mtoto
kwenye maji machafu.
Aidha Koplo Kisangase aliwambia wandishi wa habari kuwa
alipokea taarifa za kutupwa mtoto kutoka kwa wasamaria wema na wenyeuchungu na
watoto wakati walikwenda katika eneo la tukio nakukuta mtoto
mchanga wa siku moja anaelea kwenye maji machafu ndani ya dimbwi lililoko eneo
la kijiji cha Bukondamoyo Kata ya Zongomela.
Pia Koplo Kisangase alisema kuwa mwanamke huyo
anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani Kahama kwa uchunguzi zaidi ili kubaini
chanzo cha tukio hilo na akibainika kutenda kosa hilo kwa makusudi sheria |
Tag:
habari
matukio
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: