Baadhi ya viongozi wa shirika la ndege la precision Air wakiwa katika picha ya pamoja
KAHAMA
Meneja wa shirika la ndege la precision air Hillary Mremi
wamewata wakazi wa mji wa kahama na
nchi jirani za Rwanda ,Burundi na congo kuchamkia fursa za ujio wa ndege
mjini kahama.
Hayoaliyasema wakati wa kuwasili kwa mara ya kwanza kwa ndege
ya shirika la Precision Air kwa mara ya kwanza kuanza safari zake kwa wiki mara
tatu toka dar na kuja mjini kahama na
kurudi dar.
Aidha Mremi alisema kuwa kwasasa mji wa kahama utapunguza tatizo kubwa la
abiri kutoka kahama kwenda mwanza kwa ajili ya usafiri wa kwenda Dar sasa
unapanda ndege kahama saa 2.30 na mchana saa 5 upo dar hii sasa ni fursa yenu
kwa wakazi wa kahama alisema.
Naye mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu alisema Suala
hili likuwa ni muda mrefu ndugu zangu wa kahama leo nasema niwashukru sana hawa
wezetu nawa wa shirika la ndege la Precision Air kwa kubali suala hili la
kuazisha usafiri huu.
Aidha Nkurlu alisema
pia nishukuru sana shirika hili kwa ombi la
watu wa kahama kukubaliwa na
kutoa wito wangu kujitokeza kwa wingi ili usafiri huu uwe wa kila siku hii ni kuona wanachini walipokea vipi suala ujio huu wa ndege hii
“niwaombe sasa wafanyabiasha wa kahama usafiri huu hapa kazi
kwazi kwenu sasa ila wasafiri mkiwa wengi basi itakuwa usafiri wa kila siku na
kuondokana na adha ya kwenda mwanza kuchua usafi.”alisema Mkuu wa wilaya ya
kahama Fadhiri Nkurlu.
Kwa upande wake Mbunge wa jimbo la kahama Jumanne kishimba
Alipongeza ujio wa kuanza kwa safari za ndege mji hapa na kusema ni fursa njema
kwa kahama.
Akieleza faida za ujio huu Mbuge kishimba alisema kuna mambo
mengi watu watapa ajili mahotel yetu yatafanya biashara kwa wangine na pia ni
fursa kwa wazetu wa Nchini za jirani kama vile Rwanda Burundi congo kuja kahama
na kufanya mambo yao kwa wakati.
Mwisho
|
No comments: