RAIS MAGUFULI "ATETEMESHA" MIJI YA DAR NA MOROGORO, NI WAKATI AKIREJEA DAR KUTOKA ZIARA YA MIKOA YA MAGHARIBI NA KANDA YA ZIWA KWA BARABARA

6
Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, baada ya wananchi hao kusimamisha msafara wake alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017.

8

7

5
Sehemu ya wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, wakimshangilia Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliposimama kuzungumza nao, alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017.
9
Sehemu ya wananchi wa eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es salaam, wakimsikiliza Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliposimama kuzungumza nao, alipokuwa safarini akirejea jijini Dar es salaam kutokea Mkoani Dodoma, Julai 27, 2017.
10

JIUNGE NA MOHAB TV ONLINE  KWA KU CLICK HAPO CHINI 
 https://www.youtube.com/channel/UC3hptimK2adJDGFcWLuta_Q
RAIS MAGUFULI "ATETEMESHA" MIJI YA DAR NA MOROGORO, NI WAKATI AKIREJEA DAR KUTOKA ZIARA YA MIKOA YA MAGHARIBI NA KANDA YA ZIWA KWA BARABARA RAIS MAGUFULI "ATETEMESHA" MIJI YA DAR NA MOROGORO, NI WAKATI AKIREJEA DAR KUTOKA ZIARA YA MIKOA YA MAGHARIBI NA KANDA YA ZIWA KWA BARABARA Reviewed by Mohab Dominic on 01:13 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.