Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju akimpa pole Waziri wa Habari, Michezo , Utamaduni na Sanaa, Dk. Harrison Mwakyembe kwa kufiwa na Mkewe, Linah Mwakyembe Nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Razalo Nyalandu akimpa pole Waziri wa Habari, Michezo , Utamaduni na Sanaa, Dk. Harrison Mwakyembe kwa kufiwa na Mkewe, Linah Mwakyembe Nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Msanii wa Kizazi kipya Nasbu Abdul (Diamond Platnumz) akimpa Pole Waziri wa Habari, Michezo , Utamaduni na Sanaa, Dk. Harrison Mwakyembe kwa kufiwa na Mkewe, Linah Mwakyembe Nyumbani kwake Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Bernad Membe akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Singida Kaskazini, Razalo Nyalandu pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika Msiba wa Mke wa Waziri wa Habari, Michezo , Utamaduni na Sanaa, Linah Mwakyembe nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu , Profesa Ibrahim Juma akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda katika Msiba wa Mke wa Waziri wa Habari, Michezo , Utamaduni na Sanaa, Linah Mwakyembe nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Loyola , wakimpa pole Waziri wa Habari, Michezo , Utamaduni na Sanaa, Dk. Harrison Mwakyembe kwa kufiwa na Mkewe, Linah Mwakyembe Nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Picha mbalimbali waliofika katika Msiba wa Mke wa Waziri wa Habari, Michezo , Utamaduni na Sanaa, Linah Mwakyembe nyumbani Kunduchi jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Emmanuel Mssaka,Globu ya jamii
No comments: