sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » WAKURUGENZI WAPENI MAHEMA MAAFISA UGANI WAKAPIGE KAMBI VIJIJINI; DC



Na Mohab Dominick
Kahama
Oct 28, 2013.



KAURUGENZI wa Halmashauri tatu za Msalala na Ushetu wametakiwa kuwanunulia Mahema Maafisa Ugani wake ili waende kupiga kambi katika maeneo ya vijini kwa lengo la kumelimisha mkulima juu ya sula zima la kilimo bora.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya aliyasema hayo juzi katika kikao cha ushauri cha maendeleo ya Wilaya ya Kahama kilifanyika mjini hapana kugeza kuwa Afisa ugani kazi yake ni kupiga kambi Vijijini.

Mapesya aliendelea kusema kuwataka maafisa Ugani hao kuhakikisha kuwa wamapokuwa katika maeneo ya Vijijini wanawaelimisha wakulima juu ya kilimo chenye tija wakulima husani wa zao la Pamba.

“Afisa Ugani kazi yake sio kukaa mjini lazima waende Vijijini kuhamasisha Kilimo kwa Wakulima hali ambayo inaweza kuleta mabadiliko makubwa katika sekta nzima ya Kilimo katika Wilaya ya Kahama”, Alisema Mkuu huyo wa Wilaya ya Kahama Benson Mpesya.

Aliendelea kusema kuwa anayetakiwa kukaa mjini ni Afisa wa mapato tuu yaani wa TRA na kuongeza kuwa kwa Afisa ugani ni bora kabisa akahamia kijijini kwa wakulima na kuwaongoza katika mambo mbalimbali yanahusu Kilimo kwa wanaokuwepo.

Pia aliwataka Maafisa Ugani hao wawapo Vijijini lazima wawe na mashamba ya mfano ya kuigwa na wakulima ambayo yatakuwa yametwa vuzuri kulingana na kazi yao ya utaalumu wa Kilimo waliosmea.
Pamoja na Mambo mengine Mkuu wa Wilaya ya Kahama aliwataka wakulima kubalika katika katika suala zima la kilimo cha kisasa na kuongeza kuwa Mkulima apaswi kila msimu kukpoa tuu mbejeo lazima wabadilike.

“Mkulima unakuta katika mmoja wa Kilimo anapata faida kubwa badala ya msimu mwingine kuacha kukopa na kutumia faida nayoipata katika kununua Pembejeo yeye anahamia mjini kutumia fedha yake hali ambayo msimu unafuata lazima akope tena”, Alisema Mpesya.

Aidha aliendelea kusema kuwa Serikali yake imejipanga kumbadilisha mkulima awe mkulima wa kisasa zaidi kwa kuacha kukopakop mara kwa mara na kutumia faida anayoipata kwa kununulia Pembejeo katika msimu unaofuata hali ambayo wanaweza kuona faida ya Kilimo anacholima.

MWISHO


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply