sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » IDD EL FITR ILIYOFANA PLATINUM RESTAURANT KWA MICHEZO YA WATOTO

 KWA FURAHA NA WATOTO WAKO WALETE PLATINUM RESTAURANT KAMA JINSI MTOTO HUYU ALIVYOKUTWA AKIFURAHI IDD .
 Watoto wakibebea siku ya idd
 Michezo ya kuseleleka kwa watoto ipo kama jinsi watoto hawa wakicheze mchenzo huu .
 Watoto wakiwa katika foleni ya kuingia platinum Restaurant kwenye michezo
  Ni furaha tu ya idd platinum Restaurant karibu na familia yako siku za jumamosi na jumapili .
 Raha kwali
 Watoto wacheza kwenye bwaha la kuongelea na wengine wakingia ndani .
 Nyama choma ipo chips kwa watoto na kwa onder mbali mbali za vyakula .
 Watoto wakifurahia sikukuku ya idd kwa kula nyama choma na mishikaki
 Watoto wakiongelea kama wanavyoonekana wakiwa na sura za furaha siku ya idd .
 Wewe wacha platinum Restaurant mtoto huyo akicheza michezo wa kuseleleka /
Bebea kwa watoto wkiwa  na furaha
 Wewe wacha tu nyama choma mishikaki  kama jinsi dada huyo anavyochoma
 Bebea  Raha sana
 Wakiwa na hamu nao ya kuingia ndani ya bwaha la kuongelea kwa zamu
 Hii ndiyo madhari ya juu ya majengo ya platinum Restaurant  pia kwa vyumba vya ofisi pia vinapatikana karibuni .
 Furaha ya watoto wawe mzazi waleteni watoto wenu kurahi pamoja .

 Maji mazuri wewe acha tu
 Bebea  watoto
 karibuni wapendwa platinum Restaurant kwa chips nyama choma kama navyonekana mhudumu huyo

 Vitafunwa vipo vya watoto kama vile cheulo bis ubuyu na karanga
 cheulo biskuti za watoto karanga bis jojo
Moja ya wahudumu akiwa na vitafunwa vya watoto


Sasa kwa huduma ya vyumba vya ofisi
wasiliana nasi kwa namba zifutazo  Hamad offices  centre 
07848440027,0767840027 


 







«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply