MAMA ANUSURIKA NA MWANAYE KUFA NA BODA BODA

 Umati mkubwa wa watu wakiangalia ajali ya pikipiki marufu kwa jina la boda boda ambapo mama moja amenusurika kifo mjini kahama .
 Dereva wa bodaboda akiwa vhini baada ya kupata ajali huku akisema maumivu kwenye goti lake la kulia .
 Mama moja mwenye gauni nyeupe  ambaye jina lake alikufamika mara moja na mtoto wake ambaye amebebwa na msamaria moja baada ya kupata ajali na pikipiki ilikuwa imepakia kwenda hospitaliMAMA ANUSURIKA NA MWANAYE KUFA NA BODA BODA  MAMA ANUSURIKA NA MWANAYE  KUFA NA BODA BODA Reviewed by Mohab Dominic on 03:14 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.