JESHI LA POLISI KAHAMA LAFYATUA RISASI ZA MOTO BAADA YA WANANCHI KUWACHOMA WATUHUMIWA

 Askari wa jeshi la polisi wilayani kahama wakichuwa mwili wakijana  watu waliochomwa moto
 Mkuu wa kituo cha polisi wilaya ya kahama ocs  akiangalia mwili wa kijana aliuwawa na wananchi wenye hasira kwa kutuhumiwa kuimba
 Baadhi ya askari wa jeshi la polisi wakiwa wamefika eneo la mwili wa mutuhumiwa ambao umelala chini ukiwa umechomwa na moto muda mfupi baada ya polisi kufika eneo la tukio .
 Huu ndiyo mwili wa kijana alichomwa na moto na wananchi wa kata ya zongomela kwa tuhuma ya wizi .
TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI

 Mkuu wa upelelezi mwenye fimbo mkono akijaribu kuondoa baadhi ya wananchi waliofika eneo hilo na kuwashabulia askari na kujeruhi baadhi ya askari hao .
 Askari wakiweka mwili wa kijana  ndani ya gari la polisi .aliuwawa na mwanachi na kuchomwa na moto.
Mkuu wa kituo cha polisi ocs akiangalia kwa makini mwili wa kijana alichomwa moto ukiwa chini huku askari wakiumbeba kwenda kuhifadhi chumba cha maiti hospitali ya wilaya ya kahama .
JESHI LA POLISI KAHAMA LAFYATUA RISASI ZA MOTO BAADA YA WANANCHI KUWACHOMA WATUHUMIWA JESHI LA POLISI KAHAMA LAFYATUA RISASI ZA MOTO BAADA YA WANANCHI KUWACHOMA WATUHUMIWA Reviewed by Mohab Dominic on 03:51 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.