sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MAMIA YA WAKAZI WA MJI WA MISEYI WAFANYA MAPOKEZI MAKUBWA KWA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA

 KARIBU SANA MISEYE MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA AKIWASILI KATIKA VIWANJA VYA MASHUJAA MISEYE
 WANGOMBEA WA NAFASI YA UDIWANI KATIKA JIMBO LA NKENGE WAKIWA NA MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO HILO KUPITIA CHADEMA JUU NA WAKIWA PAMOJA NA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA .
 Tutakwenda kwa kasi kupambana na umasikini ambae hawezi atatupisha,tunaingia kuwatumikia wananchi 
 MTAMPA KURA NDIYOOOOOO

 Dira yetu ni kilimo cha kisasa,hakuna kulipa ushuru wa mazao, uza popote unapotaka 


MZEE DEOGRATIAS KAHANGWA AKIOMBA KURUDISHA KADI YA CCM KWA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD  LOWASSA KATIKA VIWANJA VYA MASHUJAA .

 BAADHI YA VIJA WA CCM WALIKUWA WANACHAMA WAMERUDISHA KADI ZAO MBELE YA MGOMBEA URAIS KUPITIA UMOJA WA KATIBA UKAWA EDWARD LOWASSA KATIKA VIWANJA VYA MASHUNJAA .
 ULINZI KAMA KAWAIDA YA MKUTANO YA CHADEMA HAPA NCHINI

 "Ccm lazima iondoke kwa sababu haijatekeleza yale iliyoahidi,chama kinachokaa madarakani muda mrefu kinajenga kiburi" Sumaye -Misenyi Bukoba
 BIBI AKISIKILIZA SERA ZA CHADEMA KATIKA VIWANJA VYA MASHUJAA KATIKA JIMBO LA MISEYI
 SIAMINI MACHO YANGU HUU WOTE NI KWA AJILI YETU ASANTE SANA KWA KUNIONYESHA IMANI KWENU NA MIMI NIPE KURA NITAWAPA MAJIBU
 UMMATI WA WAKAZI WA JIMBO LA MISEYI WAKISIKILIZA SERA ZA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI UKAWA



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply