SEHEMU YA TAARIFA YA IKULU KUHUSU SIKU YA UHURU 2015



 RAIS MAGUFULI AKIWA OFISINI IKULU

"Kwamba maadhimisho ya Uhuru ya mwaka huu (2015) yatatumika kama kichocheo cha kujenga tabia ya kufanya kazi (Uhuru na Kazi) katika Taifa letu. Mheshimiwa Rais ameelekeza Watanzania wote siku hiyo waitumie kwa kufanya kazi mbalimbali katika kutimiza dhana ya Uhuru na Kazi kwa vitendo."

Post a Comment

Previous Post Next Post