| Siku ya sheria nchini Huduma za haki kumlenga mwananchi katika viwanja vya National House |
| Baadhi ya waheshimiwa mahakimu wakiwa katika viwanja vya national house eneo la soko la mkulima wakiwakaribisha wananchi kujua masuala ya sheria. |
| Baadhi ya mahakimu wakiwa katika viwanja vya National House mjini kahama |
| MH Hermes Byarugaba akiongea na waandishi wa habari katika viwanja vya national House mjini kahama |
|
MH
Hakimu mkazi mfawidhi wilaya Evodia kyaruzi akiongea na waandishi wa habari juu ya umuhimu wa siku ya sheria kwa wananchi katika viwanja vya National house mjini kahama
|
| MH Liliani Haule akiongea na wanafunzi wa shule ya msingi korongwe juu ya siku ya sheria kwa wanafunzi katika viwanja vya National House mjini kahama |
| Mwanafunzi wa shule ya msingi korongwe winnefrinda mhoja akiongea Radio kwezira na jembe Fm juu ya kunyanyashaji wa haki ya watoto katika viwanja vya National House mjini kahama |
| MH Hakimu mkazi mfawidhi wilaya Evodia kyaruzi akiomba wakazi wa mji wa kahama kufahamu sheria za mahakama ili kuepuka mataperi wa sheria ambapo ni kosa la kisheria. |
| Mwanafunzi wa shule ya msingi korongwe George Josepha akizumgumzia haki za watoto katika shule yao na kujua haki zao |