sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » AFIA KATIKA NYUMBA YA KULALA WAGENI KAHAMA NYANDA GUEST HOUSE

 Chacha marwa mwaiseko  miaka( 37) ambaye alikuwa amelala chumba (E) katika geust house nyanda mjini kahama 

Hiki ndiyo kitanda alichokuwa amelala marehemu Marwa Chacha ambapo mauti yalimkuta katika Geust House hiyo 

 Mlango  wa chumbani ukiwa wasi toka usiku wa saa 5 mpaka majira ya saa  6 mchana 



 Hiki ndiyo kitanda alichokuwa amelala marehemu Marwa Chacha 

 Muhundumu wa Nyanda Geust house pili masanja, 

 Hawa ndiyo Wahundumu wa Nyanda Geust house Ambao walindua marehemu chacha marwa amefariki dunia  ipo mtaa wa manyovu kata ya majengo wilayani kahama.

 Huku ni mbele ya Geust House ya Nyanda Mjini kahama 
 KAHAMA

Mtu moja mkazi wa kijiji cha pemba tarime mkoani mara chacha marwa mwaiseko  miaka( 37) au 40  amekutwa amefariki Dunia katika nyumba ya kulala wangeni Nyanda Geust house mtaa wa manyovu kata ya majengo wilayani kahama.

Akiongea na…….. Mohabmatukio.blogspot .com…… mkuu wa kituo cha polisi kahama mussa Mchenya  kwa niamba ya kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga mika nyange alisema kweli tukio hilo limetokea juzi katika geust house ya nyanda mjini kahama mtaa wa manyovu,ambapo marehemu alikuja kulala na baadaye alitoka nje na kurudi usiku majira ya saa 4 usiku.

Aidha........... Mohabmatukio.blogspot .com…… ilitafuta kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga mika nyange kwa njia ya simu naye alisema ni kweli tukio hilo limetokea wilayani kahama katika nyumba ya kulala wangeni inaitwa nyanda geust house ambapo marehemu chacha marwa alichukua chumba namba E na kulipa bei ya chumba na kutoka nje .

Kamanda mika alisema kuwa chanzo cha kubainika kwa marehemu marwa ni muhudumu pili masanja, wakati  wa kufanya usafi muda ulikuwa umefika  ndipo aliponguza mlango na kuona mlango huu huko wazi na kumona mteja wake akiwa amelala fofo jambo ambalo lilisitua na kuomba msaada.

“mimi niliogopa sana mtu amelala hata hasituki ndipo niliomba msaada kwa wateja wengine na kusema mtu huyu amekwisha fariki dunia tulifanya mawasiliano na jeshi la polisi walifika na mwili wa chacha ulipelekwa hospital alisema pili . ”

Aidha kamanda mika alisema kuwa marehemu wakati wa upekuzi walikuta na hela kiasi cha shilingi elfu saba mia tisa(7,900) na risti ya pombe kutoka silwa pub ya mwanza ambapo inaonyesha alikuwa nakunywa kinywaji cha bia aina ya Balimi.

Akifafanua zaidi kamanda nyange alisema kuwa kwenye kitambulisho chake cha kupiga kura kinaonyesha jina la samweli Paulo mkazi wa sengerema mwanza ,kwenye kitabu cha wangeni ameandika jina la chacha marwa mkazi wa kijiji cha pembe  Tarime mkoa wa mara.

Aidha mika ametoa wito kwa watu wote kuwa wakweli wa kuandikisha majina yao na makazi wanakotoka ilikuondoa usubufu kwa watu wengi na kifo akina tarifa wakati wowote jambo hili linaweza kuupata alisema mika nyange kamanda wa polisi mkoa wa shinyanga.

Mwili wa marehemu chacha marwa umeifadhiwa katika hospital ya wilaya ya kahama kwa uchuguzi zaidi wa tukio hilo.

Mwisho  


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply