![]() |
| Mtoto mchanga akiwa na siku moja muda mfupi baada ya kuzaliwa na mama ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili mkoani singida mwenye umri wa miaka 13 . |
![]() |
| Bango kuu la hospital ya mkoa wa singida |
![]() |
| Mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 13 akiwa na mtoto wake akinyonyesha katika wodi ya wazazi walijifungua kwa njia ya uperesheni kutoka na nyonga zake kuwa ndogo |
![]() |
| Mtoto mwenye kilo mbili 2 akiwa na afya njema akiwa na siku moja toka kuzaliwa |
![]() |
| lANGO kuu la Hospital ya mkoa wa singida ambapo mwanafunzi wa kidato cha pili Mwenye miaka 13 ajifungua |
![]() |
| Mtoto akiwa amelala hakiwa na afya njema |
![]() |
| Mwanafunzi wa kidato cha pili akiwa nayonyosha mtoto wake mwenye kilo mbili akiwa na afya njema |







