BAADHI YA MAKANDA WA CCM WAKIFURAHI UWEKWAJI WA JIWE LA MSINGI LA BARABARA YA UYOVU BWANGA YENYE UREFU WA KM 45 KWA KIWANGO CHA LAMI NA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE KATIKA MJI WA RUZEWE WILAYANI BUKOMBE MKOANI GEITA
BURUNDANI YA UZINDUZI WA JIWE LA MSINGI LA BARABARA YA UYOVU BWANGA YENYE KM 45 KWA KIWANGO CHA LAMI
WEE WACHA TU NI FURAHA TU KWA RAIS WETU KWA KUTIMIZA HADI YAKE YA ILANI YA CCM KWA WATANZANIA ALIYOTOA WAKATI WA KAMPENI ZAKE ZA URAIS NA KUAHINDI WAKAZI WA UYOVU .
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKISALIMIANA VIONGOZI WA CCM NA WILAYA YA BUKOMBE MKOANI GEITA ALIPOWASILI KATIKA BARABARA YA UYOVU BWANGA YENYE UREFU WA KM 45 KWA KIWANGO CHA LAMI .
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIPANDA MTI KUONYESHA ISHARA YA UZINDUZI WA BARABARA YA UYOVU BWANGA AKIWA NA WAZIRI WA UJENZI JOHN MAGUFULI NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOMBE PROF, KOELYA KAHINGI .
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIWA NA MSANI MCHELE WA JIJINI MWANZA KULI NI WAZIRI WA UJENZI JOHN POMBE MAGUFULI AKIWAPUNGIA MKONO WANANCHINI WALOFIKA KATIKA UFUNGUZI WA BARABARA HIYO .
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOMBE PROF KONIELYA KAHINGI WAKIWANGIA MTI MAJI KAMA ISHARA YA UZINDUZI WA JIWE LA MSINGI
RAIS AKIFUKIA MTI KUONYESHA ZOEZI LA UZINDUZI WA JIWE LA MSINGI LA BARABARA YA UYOVU BWANGA YENYE KM 45 YA KIWANGO CHA LAMI
RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIKATA UTEPE WA KUONYESHA UZINDUZI WA JIWE LA MSINGI MWENYE SUTI NYEUSI
RAIS KIKWETE AKIWA NA MSANI MLEMAVU WA NGOZI KATIKA UZINDUZI WA BARABARA YA UYOVU BWANGA YENYE KM 45 YA KIWANGO CHA LAMI
No comments: