| hii ndiyo safari ya mwisho ya mpendwa wetu hapa duniani Sylyestar Nkwabi Ndegesele kijijini kwao Chona |
| Hii ndiyo nyumba yake ya mwisho Marehemu Sylyestar Nkwabi Ndegesela |
| Baadhi ya ndugu na jamaa wakishusha mwili wa marehemu Sylyestar Nkwabi kwenye makazi yake ya milele |
| Hivi ndiyo mwili wa mpendwa wetu Sylyestar Nkwabi Ndegesele ukiwekwa kaburini |
| Ndugu na jamaa wakiweka mchanga wa mwisho kuuanga mwili wa Marehemu Sylyestar Nkwabi Ndegesela |
| Mhoja Ndegesela akiweka mchanga kwenye kaburi la mtoto wake slyestar Nkwabi kabalo |
| Mh Mbuge wa jimbo la kahama Jumanne kishimba akiweka mchanga kwenye kaburi la Sylyestar Nkwabi |
| Shangazi wa marehemu Sylyestar Nkwabi Akiweka mchanga kwenye kaburi mtoto wake . |
![]() |
| Ndugu na jamaa wa marehemu wakiweka mchanga mara ya mwisho kuanga mwili wa ndugu yao |
![]() |
| Mzee Mhoja Ndengesela akiwa na baadhi ya wazee wakimfariji katika maziko ya mtoto wao mpendwa katika kijiji cha Chona wilayani kahama |
![]() |
| Mke wa Marehemu Sylyestar Nkwabi Ndengesela akiweka shanda la maua kwenye kaburi la mume wake Buriani mume wangu pumzika kwa amani |
![]() |
| Mke wa Marehemu Sylyestar Nkwabi akishikiliwa kwenda kuweka shahanda la maua na marafiki zake kijijini kwao Chona |
![]() |
| Kwa heri mume wangu hayo ndiyo maneno ya mke wa Marehemu Sylyestar Nkwabi wakati wa kuweka maua kwenye kaburi la mume wake pumzika kwa amani |
![]() |
| Marko Nzingula na mke wake wakiweka shahanda la maua |
![]() |
| Mwenyekiti wa ccm wilaya kahama Mh Maballa Mlolowa na Mwenyekiti wa vijana wilaya wakiweka shahanda la maua kwa pamoja |
![]() |
| Mpumzika kwa amani ya bwana amina |
![]() |
| Mbunge wa jimbo la kahama jumanne kishimba akiweka shahanda la maua |
![]() |
| Baadhi ya jamaa na Ndugu waliofika msibani Mwenye sharti Nyeusi ni shukuru na kaka mkubwa joshua hassani kwenye maziko ya ndugu yao kijijini Chona |
![]() |
| Baadhi ya wafanyabiasha wa kahamawaliofanya nao kazi marehemu Sylyestar Nkwabi wakiwa katika maziko kijiji kwao chona |
![]() |
| Baadhi ya Waobolezaji wakiwa nchi ya Mti kwa ajili ya juu kuwa kali sana mchana hapo ndiyo Nyumbani kwa Marehemu |
![]() |
| Baadhi ya Ndugu na jamaa walitoka mpanda kuja kahama kwa Ajili ya Maziko ya ndugu yao Sylyestar Nkwabi Ndegesela |
![]() |
| Baadhi ya Wafanyabiasha toka Mpanda wakiwa katika maziko ya jamaa yao marehemu Sylyestar Nkwabi |
![]() |
| Mazikoni Nyumba kwao na marehemu slyestar Nkwabi kijijini kwao Chona |
![]() |
| Mh Meya mji wa kahama Abel Shija akiweka shahanda la maua kwenye kaburi la Marehemu Sylyestar Nkwabi |
| jamaa wa marehemu |
| Baadhi ya ndugu na jamaa wakipa pole mke wa marehemu, Mkono Sylyestar Nkwabi |
| Watoto wa marehemu Sylyestar Nkwabi wakiwa watu wenye udhuni mkubwa baada ya baba yao kufariki Dunia na kukosa mapenzi ya Baba yao |
| Bint wa marehemu Sylyestar Nkwabi akiwa mwenye udhuni kubwa wakati wa kuuanga mwili wa baba yao katika kijiji cha Chona |















