ROCKEN HILL

ROCKEN HILL

Friday, 27 December 2013

WANANCHI WA KITONGOJI CHA LUGELA WALALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KAHAMA

 MWENYEKITI WA BARAZA LA WAZEE WILAYANI KAHAMA MZEE MASHAKA KAFUMU  AKIONGEA NA WANANCHI WA KITONGOJI CHA LUGELA KATA YA NYAHANGA WILAYANI KAHAMA WAKILALAMIKIA HALMASHAURI YA MJI KWA KUSHIDWA KUWASHIRIKISHA KATIKA MCHAKATO WA KUNGAWA MAENEO YAO BILA KUWASHIRIKISHA
 MMOJA WA WANANCHI WA KITONGOJI CHA LUGELA ENG,JUSTINE MSOMI AKIONGEA MBELE YA TUME YA KAMATI  UMOJA WA WAZEE WILAYA YA KATIKA MKUTANO WA KITONGOJI CHA LUGELA LEO ASUBUHI
 MWENYEKITI WA BARAZA LA WAZEE MZEE MASHAKA KAFUMU AKISISITIZA SUALA AMANI NA KUPATA HAKI YAO YA MSINGI JUU YA MAENEO YAO
MMOJA WA KINAMAMA WA KITONGOJI CHA LUGELA AKISISITI SUALA KUVAMIWA NA HALMASHAURI MAENEO YAO BILA YA KUSHIRIKISHA UONGOZI WA KITONGOJI

No comments:

Post a Comment