Na
Kahama
MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA KHAMISI MGEJA AKIWAPONGEZA WANANCHI WA KIJIJI CHA IHATA KWA KUKIAMINI CHAMA CHA MAPINDUZI CCM KWA KIPATIA KURA NYINGI KWA KISHINDO
MWENYEKI WA CCM MKOA WA SHINYANGA KHAMISI MGEJA AKIHUTUBIA MKUTANO WA USHINDI JANA KATIKA KIJIJI CHA IHATA AMBAPO CCM WALISHINDA KWA KURA 323 DHIDI YA WAPINZANI WAO CHADEMA WALIPATA KURA 219 KATI YA WAPIGA KURA 640
Febr 10, 2014
CCm wapeta kwa kura 323, Chadema kura 219, Tadea 98 Katika uchanguzi
wa kata 27 ccm wameshida kata 23,chadema kata 3 na Nccr kata 1
Kufatia uchanguzi mdogo wa udiwani kata ya ubagwe
wilayani kahama mkoani shinyanga chama
cha mapinduzi ( ccm) kimeibuka ushindi kwa kishindo kwa wapinzani kati ya vyama
vitatu cha chama cha demokrasi na maendeleo (Chadema) na Tadea.
Akitangaza msimamizi wa uchanguzi sospeter Alseco
alimtangaza mgombea kupitia chama cha mapinduzi( ccm) Hamisi majogoro kwa kura
ameibuka kwa kura 323, Adamu Ngoma wa chadema alipata kura 219 na majija lubiza
alibuka na kura 98 na msimamizi wa uchanguzi sospeter Alseco alimtangaza
mshindi wa ccm hamisi majogoro kuwa mshindi kwa kura 323.na kuwashinda wa
upinzani.
Akifafanua msimamizi wa uchanguzi huu sospeter
alseco alisema kuwa jumla kuu ya watu walijiandikishakupinga kura walikuwa zaidi ya elf sita( 600) sasa hali
hii inaonyesha wazi kuwa wapiga kura waliopiga walikuwa 640
Naye mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga hamisi
mgeja wamepongeza wananchi wa kata ubagwe katika kijiji cha ihata kwa kukipatia chama cha mapinduzi
ushindi huu na kusema wananchi wamekuwa wakiamini chama hicho,na kuwaomba kuwa
watulivu kutokana na vurungu zilizojitokeza.
Akifafanua mgeja alisema ushindi huu siyo kwa
wanaccm wa ubagwe peke yake bali na
wananchi nzima Tanzania ,pia alizidi kusema kuwa pamoja na wanachama wawili wa
ccm kupotea mpaka sasa kutokana na matukio ya vurungu hizo na kujeruhi jumla ya
wana ccm kumi na mbili tupo pamoja hao alisema mgeja.
Aidha Hamisi mgeja alisema kuwa kitendo hicho ni cha
aibu kubwa katika kuleta demokrasi ya kweli kwa Tanzania wote leo hii hizi
vurungu zinatuonyesha dila gani kwa upinzani hapa nchini.
“Nasema wasicheze amani hiliyopo hapa nchini na hasa hawa wafasi wa chadema na tupo tayari
kulinda amani kwa gharama yoyote ile ni
jambo la ajambo kiongozi kama mbuge kushiliki
kuvunja amani ya Tanzania na
chama cha mapinduzi kitaendelea kulinda amani ya watanzania wote bila ya kujali
vyama vyao wala itikandi zao alisema mgeja ”
Pia mgeja wametaka wananchi wa kata ya ubagwe
kurundi kweye nyumba zao walizokimbi kwa hofu ya kukamatwa na kukosa amani
aidha mgeja alisema kuwa watu walijiandisha kupiga kura walikuwa 6000 lakini
kutokana na hali ya vurungu hizi ni watu mia sita tu na arubahini walipiga kura
hizo kutokana vurungu
jampo na ushindi huu ccm bado wananchi
wanakiami chama chao cha mapinduzi (ccm )na kuwataka kuwa wavumilivu
kwa mambo haya yanayojitokeza na vurungu za baadhi ya vyama vya upinzani
ambavyo imelindwa na chama tawala ccm .
hata hiyo kwa
mujibu wa mjumbe wa kamati kuu ya ccm wilaya kahama paschal Ntale chama
mapinduzi ccm kimeshinda viti 27katika uchanguzi wa madiwani ccm wameshinda viti 23 kati ya hiyo
na chadema wameshida viti vitatu na Nccr wao wameshinda kiti kimoja tu kata
hizo .
mwisho
.
No comments: