Baadhi ya wafanyakazi wa mgodi wa Buzwagi wakiwa katika hospital ya wilaya ya kahama kwa ajli ya kuwafariji wakinamama siku ya wanawake Duniani
Kaimu mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Halimashauri ya mji wa kahama Emelecia Machibya na sofia mwenye mtoto ni mfanyakzi wa mgodi wa Afrikani Barrick God Mine siku ya wanawake Duniani
Kaimu Mganga mkuu Mfawidhi Wa Halimashauri ya mji wa kahama Emeleciana Machimbya Ambaye ameshika khanga mkononi Akibidhiwa vitu mbali mbali viwemo mabeseni sabuni khanga kwa wakinamama Vifaa hivyo vyote vina thamani ya shilingi milioni moja na laki saba (1.7)milioni
Baadhi ya Wanafunzi wa shule ya sekondali mwendakulima wakiwa na wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Buzwagi siku ya wanawake Duniani Ambapo wafanyakazi hayo walitembelea wanafunzi hao kwa kuwatia moyo kabla ya kuaaza mithiani yao ya kidato cha sita
Wakinamama wa kijiji cha Buzwagi wakiwa na wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu wa Afrikani Godi Mine
Wanafunzi wa shule ya sekondali ya mwendakulima mjini kahama wakiwa na Baadhi ya wafanyakazi wa Buzwagi waki pamoja katika siku ya wanawake Duniani
Baadhi ya wafanyakazi wa Afrikani God mine Buzwagi wakiwa pamoja wakitafakali juu ya ya siku ya mwanawake Duniani
Baadhi ya kina mama wa kijiji cha Buzwagi wakifurahi siku ya wanawake Duniani Katika kijiji cha mwendakulima