kkt ndala ya shinyanga wakimba nyimbo mbalimbali kabla ya uzinduzi wa albamu ya vaa kombati .
Aic nyakato wakimba nyimbo zao katika uzinduzi wa kwaya ya zion choir katika albamu yao ya vaa kombati
kwanya aic majengo wakimba wimbo wao mmoja .
kwaya ya aic ya kambalage wakimba nyimbo yao ya bui bui .
kwaya ya zion choir wakingia katika ukumbi wa kapaya wakiwa tayari kwa uzinduzi wa albamu yao ya vaa kombani .
Mgeni rasmi joseph temela akivishwa sikafu kabla kuingia katika ukumbi wa kapaya katika uzinduzi wa albamu ya vaa kombati .
Waaumini wa madhehebu mbali mbali wakishudia uzinduzi wa albmu ya vaa kombati
Waaumi mbali mbali wakifurahia kwa uzinduzi huo
kwaya aic nyakato toka mwanza wakimba kwenye uzinduzi ya kwaya ya zion choir ya aic nyahanga albmu yao ya vaa kombati
Baadhi ya wangeni walioalikwa
baadhi ya kwaya zilizoalikwa
Mgeni rasmi joseph temela akitoa neno kabla ya kuanza uzinduzi wa albamu yao ya vaa kombati
Hawa ndiyo vaa kombati timu mzima kwa palendi kwenda kwenye ukumbi kuanza kazi ya uzinduzi wao .
Hiki ndiyo kikosi cha vaa kombati kiwa kinaingia katika ukumbi wa kapaya hotel mjini kahama
Mwanakwanya wa zoin choir wakifulahi uzinduzi wa albamu yao ya vaa kombati katika ukumbi wa kapaya .
Mchungaji kiongozi wa kanisa la aic t mlima sayuni mwenye kipasa sauti deus masonda akitoa neno kwa mgeni rasmi mwenye sikafu joseph temela kabla uzinduzi huo kushoto ni wazee wa kanisa
Kiongozi wa kwanya ya zion choir wakati wakiingia katika ukumbi wa kapaya kwajili ya uzinduzi wa albamu yao ya vaa kombati,
Mc akiteta jambo na moja wa wafadhili wa kwanya hiyo mzee kamu vilevile ni mzee wa kanisa la aict mlima wa sayuni kabla ya kuanza kwa uzinduzi wa hiyo albamu .
Mgeni Rasm joseph temela wenye sikafu akipokea cd ya vaa komba toka kwa eva paul mwenye sikafu shingoni ,
Baadhi ya wauumi wa madhehebu mbali mbali walijitokeza katika uzinduzi wa albamu ya vaa kombati katika ukumbi wa kapaya hotel,
AICT MLIMA WA SAYUNI UZINDUZI WA ZION CHOIR KATIKA ALBAM YAO " VAA KOMBATI "KATIKA UZINDUZI HUO KULIAKWA KWANYA MBALI MBALI KWANYA ZILIZOKUWEPO NI AIC ,CHA,'NGOMBE AIC ,SHINYANGA ,AIC KAMBALANGE ,AIC SEGESE,AIC NYAKATO (MWANZA ) AIC MAJENGO ,VIJANA MOLAVIAN ,KKKT,MSAMALIA CHOIR AIC SENGEREMA ,PAMOJA NA BAHATI BUKUKU AMBAYE ALIPATA AJALI MKOANI DODOMA WAKATI HAKUJA KAHAMA
KATIKA UZINDUZI HUO KATIKA HARAMBE HIYO JUMLA YA FEDHA TASILMU ZILIZOKUWA ZINATALAJIWA NI MILIONI 50 ,KATIKA HARAMBE HIYO ZILIPATIKANA JUMLA YA MILIONI 30.3
AIDHA KATIKA UZINDUZI HUO MCHANGAJI DEUS MASONDA ALIPONGEZA WAUMINI WOTE WALIOTOA KIASI WALICHOKUWA NACHO NA MUNGU HAWAPE MOYO WA KUTOA .
AKIFAFANUA ZAIDI MCHUNGAJI DEUS ALISEMA KUWA KANISA LA ZION KWAYA ILIAZISHWA TAREHE 27,5,2003 IKIWA NA WANAKWAYA 43 KWA USAJILI WA JINA LA AIC NYAHANGA TAREHE 11 9,2005BABA ASKOFU JOHN NKOLLA ALISEMA KATIKA IBADA YAKE KATIKA KANISA HILO KWA VILE LIMEJENGWA JUU YA MLIMA LITAITWA MLIMA SAYUNI NA KIKUNDI HICHO CHA KWAYA KITAITWA KWA LUGHA YA KIINGEREZA ZION MWISHO WA KUNUKU
No comments: