HILI NDIYO BANGO LA PLATINUM RESTAURANT MJINI KAHAMA AMBAPO LIPO KAHAMA FM YA ZAMANI BOMA ROAD.
HILI NDIYO GETI KUBWA LA PLATINUM RESTAURANT MJINI KAHAMA KARIBUNI SANA
BAADHI YA WATEJA WAKINGIA NDANI YA PLATINUM RESTAURANT
MENEJA WA PLATINUM RENAND JANGU AKIWAKARIBISHA BAADHI YA WATEJA WAKE.
JAMAANI KARIBUNI NDIYO USEMI WA MTOA HUDUMA KATIKA RESTAURANT PLATINUM KWA HUDUMA YA CHAKULA SAFI .
MOJA WA WAHUDUMU WAKIPELEKA HUDUMA KWA WATEJA WAO .
MFANYAKAZI WA PLATINUM RESTAURANT AKIANDA ONDA KWA WATEJA WAKE WA KIFUNGUA KINYWA .
MFANYAKAZI WA PLATINUM RESTAURANT AKIPELEKA JUIS KWA WATEJA WAKE
SURA ZA WAREMBO WA PLATINUM RESTAURANT WAKIWA KATIKA POZ WEWE WACHA TU .
MOJA YA POZ LA WAHUDUMU WA PLATINUM RESTAURANT
KWA MANDAA TU YA HUDUMA NZURI KWA WAHUDUMA NZURI KARIBU PLATINUM RESTAURANT .
WEWE WACHA TU NDIYO MANENO YA WAHUDUMU WA PLATINUM RESTAURANT .
HUDUMA SAFI KARIBUNI .
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA PLATINUM RESTAURANT WAKIJADILI SHUGHULI ZA MCHANA WA HUU .
HUDUMA KARIBU NDIYO MANENO YA MTOA HUDUMA WA PLATINUM RESTAURANT MJINI KAHAMA
VINYWAJI SAFI KWA WATEJA BARIDI NA MOTO KARIBUNI .
MTEJA KARIBU JUIS ASANTE SANA NDIYO MANENO YA MTEJA .
KARIBU MTEJA HAPA .
BAADHI YA MEZA ZA PLATINUM RESTAURANT .
BAADHI YA MADHARI YA PLATINUM RESTAURANT .
MTEJA AKIWA AMEPUMZIKA NJE YA PLATINUM RESTAURANT .
BAADHI YA MAJENGO BORA NA YA KISASA
HILI NDIYO ENEO LA MICHEZO KWA WATOTO WALETENI WATOTO WENU WAFURAHIYE PLATINUM RESTAURANT .KILA JUMAPILI JUMAMOSI .
BAADHI YA MICHEZO YA WATOTO KAMA VILE BENBEA
BAADHI YA WAHUDUMU WAKITAFAKARI JAMBO
BENBEA ZA WATOTO KILA SIKU YA JUMAMOSI NA JUMAPILI .
KWA POZ TU NJOO NA MWANAO PLATINUM RESTAURAUNT
MICHEZO MBALIMBALI YA WATOTO KARIBUNI
HII NDIYO MICHEZO YA WATOTO WALETENI WATOTO WENU KWA FARAJA .
KARIBU DADA ASANTE POA .
MTEJA KARIBU HAYA NDIYO MANENO YA MTOA HUDUMA WA PLATINUM RESTAURANT KWA MTEJA WAKE .
ENEO LA KUENGESHA MAGARI LIPO KWA WAKATI
HII NI BAADHI YA MAENEO YA KUENGESHA MAGARI KWA WATEJA WALIO NA USAFIRI
MAJADILIANO YA MSOSI WEWE WACHA TU
JAMANI HII NDIYO PLATINUM RESTAURANT ILIPO MJINI KAHAMA BARABARA YA BOMA ROAD .
MICHEZO YA WATOTO KAMA JINSI INAYONEKANA
MHUDUMU AKIPELEKA JUIS KWA MTEJA WAKE WEWE TU.
BAADHA YA KUPATA VINYWAJI NA CHAKULA SAFI WATEJA WALIPUMZIKA NA KUFANYA KAZI ZAO BAADA.
MICHEZO YA WATOTO BENBEYA ZA MZUNGUKO WALETENI WATOTO WENU PLATINUM RESTAURANT KARIBU NA KAHAMA FM BARABARA YA BOMA ROAD .
DADA YANGU KARIBU SANA PLATINUM RESTAURANT KWA CHAKULA BORA NA SAFI .
MHUDUMU AKIPELEKA KWA MTEJA WAKE KIFUNGUA KINYWA .
RESTAURANT
PLATINUM
SEHEMU
YA KULA KUPATA VINYWAJI BARIDI ,MICHEZO YA WATOTO PLATINUM RESTAURANT
NI SEHEMU TULIVU NA
INAYOKUFANYA UJISIKE NYUMBANI UKIWA MBALI NA NYUMBANI.
HUDUMA ZETU.
1.KUFUNGUA KINYWA .
2.SUPU ZA AINA MBALIMBALI
KAMA VILE SAMAKI ,MBUZI NA KUKU .
3 BUFFET LUNCH SPECIAL .
4 JUIS ZA KUTENGENEZA KWA MATUNDA YA ASILI .
5 VYAKULA MBALIMBALI VYA ASILI AU KIENYEJI .
6 CHAKULA KWA AJILI YA MIKUTANO ,SEMINA NA SHUGHULI
NYINGINE MBALIMBLI
.
UKIWA NA MJINI KAHAMA NA UNAHITAJI KUPATA CHAKULA
UKIWA NA RAFIKI ZAKO NA HUNAHITAJI KUPATA SEHEMU TULIVU
KWA AJILI YA CHAKULA NA MAZUNGUMZO .
UKIWA NA SEMINA AU MKUTANO PIA UKIHITAJI KUTOKA NA FAMILIA YAKO.PLATINUM
RESTAURANT NDIYO SEHEMU PEKEE .
KWA MASILIANO;mobil +255754 50 99 20 ,+255785 50 99 20
email.restaurant _platinum@gmail.com.
PLANTINUM NI SEHEMU SAHIHI KWAKO WEWE NA FAMILA YAKO
KWA MAWASILIANO TUPO BOMA ROAD ILIPOKUWA KAHAMA FM NA
JIRANI NA MAMLAKA YA MAJI KAHAMA
No comments: