Umati mkubwa wa watu wakiangalia ajali ya pikipiki marufu kwa jina la boda boda ambapo mama moja amenusurika kifo mjini kahama .
Dereva wa bodaboda akiwa vhini baada ya kupata ajali huku akisema maumivu kwenye goti lake la kulia .
Mama moja mwenye gauni nyeupe ambaye jina lake alikufamika mara moja na mtoto wake ambaye amebebwa na msamaria moja baada ya kupata ajali na pikipiki ilikuwa imepakia kwenda hospitali
No comments: