mkuu wa wilaya ya kahama Benson mpesya akishiriki katika kuchota kokoto za ujenzi wa vyumba vya maahabara katika shule ya sekondari nyasubi kahama .
Dc Benson Mpesya mwenye sharti la darfti akiongea na waandishi wa vyomba mbalimbali vya habari katika ukanguzi wa maahabara katika shule ya sekondari Bugisha.
Baadhi ya waahabari wa wilaya ya kahama wakipewa maelenzo na mkuu wa wilaya ya kahama mwenye sharti la darf kuhusu ujenzi wa maahabara katika wilaya yake na kutekeleza angizo la mh Rais jakaya mrisho kikwete za ujenzi huu wa maahabara nchi nzima.
Ukanguzi wa ujenzi wa maahabara katika shule ya sekondari ya bugisha .
jengo la maahabara likiwa katika hatua ya rita katika shule ya sekondari nyasubi mjini kahama .
mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya akimwanga kokoto kwa ajili ya kumina zege.
DC Mpesya akiangalia ufutwaaji wa matofari ambapo yanakadiriwa kufikia elf 31 ambapo jumla yake ni matofari 41.
ukanguzi waandishi wa habari na mkuu wa wilaya ya kahama .
mkuu wa wilaya kahama akiongea na diwani wa kata ya mondo mh said juu ya kuwapongeza kwa kazi ya ujenzi wa maahabara katika kata yake kukamilika .
mafundi wakiwa kazi katika viwanja vya halmashauri ya mjini kwa kufatuliwa matofari hayo.
Mkuu wa wilaya ya kahama akiongea na waandishi wa habari juu ya ujenzi wa maahabara ofisini kwake kabla ya kwenda kujionea ujenzi huo..
Akisisitiza jambo mkuu wa wilaya ya kahama ambapo hawapo pichani katika ofisi ya mkuu huyo.
Haya ni baadhi ya matofari 31 elfu kati ya mahitaji 41 ya maahabara ya shule 48 katika wilaya ya kahama .
Baadhi wa waandishi wa habari ofisini kwa mkuu wa wilaya .
waandishi wakiwa makini kusikiliza maelekezo toka kwa mkuu wa wilaya mwenye sharti la drafti .
waandishi wa habari wakiwa makini kwa kumsikiliza mkuu wa wilaya ya kahama
.
Katika hali ya kutekeleza agizo la Rais Jakaya Mrisho Kikwete
nchini wa ujenzi wa maabara za shule za
sekondari ,mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya amewa onya vikali wanasiasa
wanaozuia utekelezaji wa mpango huo wa
kitaifa.
Onyo hilo amelitoa mbele ya waandishi wa Habari katika shule
ya sekondari ya Bugisha iliyoko Halmashauri ya mji wa Kahama,tarafa ya Isagehe
wakati wa ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa maabara hizo wilayani kwake.
DC Mpesya alikuwa akijibu swali la mmoja wa waandishi wa
Habari aliyetaka kujua utekelezaji wa barua ya mwenyekiti wa Chama Cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)wilayani Kahama,Juma Protas la kumpa siku tatu
kusitisha michango ya ujenzi wa maabara za sekondari wilayani Kahama,ama sivyo
watamburuza mahakamani.
Mkuu huyo wa wilaya alisema kuwa ni kweli amepokea barua ya
CHADEMA wilaya Kahama lakini hakubaliani nao kwa kuwa ujenzi wa maabara hizo
sio mpango wa DC Kahama bali ni mpango wa kitaifa wenye lengo la kuwakomboa
wanafunzi wa masomo ya sayansi na kutuzalishia wataalamu wa baadae.
‘Ujenzi wa maabara za shule za sekondari halina itikadi,ni
mpango wa maandeleo na ni agizo la Rais wa Jamhuri wa muungano mhe. Jakaya
Kikwete hivyo atakayejaribu kuzuia ujenzi huo atachukuliwa hatua
kali”Alisisitiza DC Mpesya.
Alikanusha madai
yaliyotolewa na CHADEMA kuwa aliznunguka mji mzima na gari na kipaza sauti akitangaza kuwataka
wananchi wote walipe michango ya maabara kuepuka kufikishwa katika vyombo vya
dola.
Mpesya alifafanua kuwa alikutana na wafanyabiashara katika
kikao cha pamoja na kuwaomba kuchangia ujenzi wa Maabara hizo,ambapo waliitikia
wito huo kwa kiwango kikubwa na kutumia fursa hiyo pia aliwashukuru wakuu wa idara ya halmashauri kwa mchango wao
mkubwa wa kuchangia mchanga wa kufyatulia matofali.
Mwisho
No comments: