hivi ndivyo tax za mji wa kahama kama inavyoneka kuwa kweupe
Eneo la tax mji kahama baadha ya kudhibitiwa na jeshi la polisi kahama kupakia eneo hili
Hii ndiyo tax inavyokumbaliwa na kupakia abiria katika kituo cha mabasi kahama .
Hii ndiyo stadi mkuu ya mji wa kahama iliyokuwa kwa siku ya leo
Baadhi ya wandesha tax wilayani kahama wakiwa katika vuwanja vya magereza kwa ajili ya kujadilia juu ya suala lao la mgongoro wa kulipa kodi.
Majadiliano ya madereva tax kahama yakiendelea kwenye viwanja vya magereza wakiwa na tax zao .
Mmoja wa fanyabiashara wa nyama za kuchoma akiwa ana sale akifanya biashara huku akiwa hatari kwa wasafiri wanao kwenda mikoani ni hatari kwa afya za abiria .
Mwenye kazu nyekundu ni kiongozi wa madereva wa tax kahama Abdul Amid akiongea na madereva wenzake juu ya mgongoro huu .
Kahama
Jeshi la polisi wilayani kahama ilimefanya msako maeneo ya
standi kuu na vituo vya tax na kubaini kuwepo na tax bubu katika stadi kuu ya
mabasi yaendayo mikoani .
Alihiyo ilijitokeza jana baada ya madereva tax kukamatwa kwa
moja wao kwa kosa la kubakia abiria je ya kituo bila ya kuwa na leseni ya
kumbeba abiria kinyume na utaratibu huliopo ambao hunasababisha serikali kulipa
kodi.
Aidha nipashe ilifika eneo hilo la stadi kuu kujionea hali halisi ya huo mgomo wa
madereva tax na kukuta tax hizo zipo nje ya kupakia mabasi jambalo limeleta
husubufu mkubwa kwa wateja.
Kwa upande wake kamanda wa polisi barabara Robert sewando alipotakiwa kujibu hoja hiyo
alisema kuwa mimi sio msemaji wa jeshi la polisi yupo ocd ndiyo mwenye mamlaka
ya jambo hili kwa sababu lipo kisheria na mwenye tax wafute tu sheria alisema.
Aidha kwa upande wake mkuu wa polisi wa wilaya ya kahama Leornad
Nyandahu (O C D )Kujibu malamiko hayo alisema kuwa ili siyo tatizo ni kufuta
utaratibu wa sheria sisi kama jeshi la polisi wilaya tuna mpango wetu wa kazi
hatuwezi kuona kila tax inakuja hapa kupakia abiria ikiwa aina kibao cha
maandishi meupe kuwa ni tax inayotambulika kisheria.
“Kisheria kuna uharifu mkubwa hunafanya na hawa mwenye tax
ambazo hazitabuliki kisheria na kuna baadhi wao wanalipata mapato TRA Jambo ambalo
wengine wanata hasara kwa wengine kutolipa kodi’
Na kufanyakazi wao bila kulipa kodi hiyo.
Akifafanua zaidi alisema wimbi la ujambazi mwingi linafanya
na hizi tax ambazo azijasajiliwa kihalali na mwisho wa siku ni lawama kwa jeshi
la polisi hapa kahama huone tu hizi tax mjini hazizidi kumi zenye leseni za tax
sisi kama jeshi la polisi utaratibu wetu kazi hatupangiwi alisema .
Aidha kwa upande wao hao waendesha tax ambaye alisema kuwa ni
kiongozi wao Abdul Amid alisema kuwa chonzo cha huu mgongoro ni moja wa dereva
tax alipakia abiria moja toka kwa Anget wa basi na kumpeleka nje ya kituo cha
basi jambo ambalo likuwa siyo kosa lake ni kosa la huyo Anget wa mabasi kufanya
hiyo.
Akifafanua zaidi Amid alisema kuwa tuliona mwezetu amekamatwa na askari na
kupelekwa kituoni na mahojiano zaidi kwanini alichukua abiria hapo stadi huku
hakifahamu kuwa nyenye haki leseni ya kupakia abiria .
Naye dereva tax jumanne majid alisema kwakuwa jeshi la polisi
ndiyo lilopanga mpango huo tuanaomba basi watu hata miezi 6 ili tuwenze
kujipanga kwa hilo na sio kutuone ,sasa hatuna kazi leo ni siku ya tano hebu
fikiri muandishi.
Kwa upande wake mkurungezi wa mji wa kahama felix kimario
alisema kuwa lazima hawa lipe kodi kwani ni sheri ya kuweka kibao chenye
kuonyesha ulipwaji wa kodi na si vinginevyo nikwa mjibu wa sheria za kodi .
“Halmashauri zetu zinaendeshwa kwa kodi hizo tax zinafanya
kazi hizo kimakosa kupakia hapo stadi ilikuwa wajui hawalipi kodi nao polisi ni
kazi yao kuangali suala la usalama wa abiria wao wanakokwenda wapi ili kuondoa
maska kwa abiria’’
Naye kamada wa polisi wa mkoa wa shinyanga Justus kamugisha alipoulizwa juu ya sakata la
tax kufanya huo mgomo baridi alisema wao hawana haki ya kupakia hapo kinyume na
utaratibu huliowekwa na jeshi la polisi ni wajibu wake kuangali usalama wa
abiria kuondoa tax bubu mjini ili kuondoa hualifu hunatumiwa na tax hizi
alisema .
Mwisho
No comments: