UMMATI WA WAKAZI WA JIMBO LA BUKOBA
RAJABU MBARUKU AKIOMBA KURA KWA WAKAZI WA JIMBO LA BUKOBA MJINI
HUU NI UMMATI KAMA WA DAR ASANTE SANA WATU WA BUKOBA HAYO NDIYO MANENO YA MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA AKIONGEA NA WAZIRI MKUU MSTAAFU KATIKA JIMBO LA BUKOBA .
MKE WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BUKOBA WILLFRED WAKATARE AKIMUOMBEA KURA MUME WAKE HUKU AKIWA AMEPIGA MAGOTI .
NAMUOMBEA KURA KWA MUME WANGU WILLFRED WAKATARE KWA WAPIGA KURA WA JIMBO LA BUKOBA MJIN
KHAMIS MGEJA AKIZUNGUMZA NA WAKAZI WA JIMBO LA BUKOBA MJINI NA KUOMBA KURA KWA MGOMBEA URAIS KUPITIA UMOJA WA KATIBA UKAWA EDWARD LOWASSA .
NAOMBE KURA ZENU MGOMBEA JIMBO LA BUKOBA MJIN WILLFRED WAKATALE .
MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA AKIMPOKEZA MAMA WILLFRED WAKATARE KWA KUMUOMBEA KURA MUME WAKE
MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BUKOBA MJIN WILLIFRED WAKATARE AKIMSALIMIA MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA MUDA MFUPI BAADA YA KUWASILI KATIKA UWANJA WA AGHA KHAN MJIN BUKOBA
"Uamue elimu iwe bure kuanzia chekechekea mpaka chuo kikuu"Mabadiliko2015
"Ccm
lazima iondoke kwa sababu haijatekeleza yale iliyoahidi,chama
kinachokaa madarakani muda mrefu kinajenga kiburi" Sumaye -Misenyi
Bukoba
UMMATI MKUBWA KAMA JINSI UNAVYONEKANA
UMMATI MKUBWA
MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA ALIMUSHIKA MKONO MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA BUKOBA MJIN WILLFRED WAKATARE KUMUOMBEA KURA KWA WANANCHI WA JIMBO LA BUKOBA .
MGOMBEA URAIS KUPITI UMOJA WA KATIBA UKAWA AKIMUOMBEA KURA MBUNGE NA MADIWANI
MAMA AMBAYE NI MLEMAVU WA VIUNGO AKIWA NA FURAHA KUBWA BAADA YA KUMUONA MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA KATIKA VIWANJA VYA AGHA KHAN MJINI BUKOBA
No comments: