Hivi ndiyo baadhi ya mabango yaliwekwe juu ya mti katika jimbo la Lindi mjini kama jinsi linavyoneka hewa juu ya mti
kwa hali ndo wanafikiri tutadanganyika na tafiti zao udhaifu
Uamue itungwe sera ya kumaliza nyumba zilizoezekwa kwa nyasi nchini @edwardlowassatz
OLE Medeye akiongea na wananchi wa jimbo la Lindi mjini sema ccm lazima indoke madarakani kwa kupinga kura kwa wingi
Hivi ndiyo chopa ilivyowasili katika viwanja vya shule ya msingi mpili mpili akiwa inawasili katika anga la shule hiyo huku mgombea urais wa umoja wa katiba ya wanachi ukawa Edward Lowassa ikiwa katika Aga ya shule hiyo ,
Mgombea ubunge jimbo la Lindi mjin Barway mh Rajabu mbaruku na mh khamis mgeja wakisikiliza sera za chadema katika viwanja vya mpilli mpili Lindi mjini
Stakabadhi ghalani na matatizo ya Wanalindi tunatumaini unaenda kuyamaliza Barwany viwanja vya Mpilipili
Mtama Lindi ipo tayari,wanawake ni nguzo muhimu katika kuleta Mabadiliko
Tunahitaji sisi wanawake wa Lindi Tumechoka na ccm tupo hapa toka saa 4 asbh mpaka tumuone Rais wetu Edward Lowassa .
Heeeeeeee haya ndiyo mambo ya LIndi Bwanaaaaaa wee acha tu hali ndiyo hiyoooooooo ccm kwisha kwisha kambisaaaaa Lindi
Ummati wa wakazi wa jimbo la Lindi
Asante sana mgombea ubunge akimpokeza mgombea urais Edward Lowassa kwa kueleza kero za watu Lindi katika kiwanja cha shule ya msingi mpili mpili
Serikali ya sasa haiwajibiki kwa wananchi wake, lazima serikali ya ccm ing'oke madarakani - Sumaye - Lindi Mjini
Kuna bango naliona limeandikwa Lowassa usikate tamaa,nakwambia sina desturi ya kukata tamaa Edwardlowassatz Lindi mjini
"Nikiwa Rais nitapitia upya mikataba yote ya gesi na mafuta tuhakikishe Wanamtwara wananufaika kwanza"
Jee mtampa kura mbunge wenu Barway Ndiyooooooo asante sana je na madiwani jee tutawapa wote asanteni sana Edward Lowassa mabadiliko 2015
Kwa herini watu wa Lindi asante kwa kuniunga mkono
No comments: