Mkurugenzi wa shule ya Sekondari Anderlake Regency Alexandar
Kasmil.
Katibu
Tawala wa Mkoa wa Shinyanga aliyekuwa mgeni rasmi
Abdulrashid Dachi ameupongeza uongozi
Abdulrashid Dachi ameupongeza uongozi
Abdulrashid Dachi ameupongeza uongozi
Wahitimu wa shule ya Anderlake wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi katibu Tawala wa mkoa wa shinyanga
Mkurugenzi wa shule ya Sekondari Anderlake Regency Alexandar
KasmilMwenye Tai Nyekundu.
Meneja wa Shule ya Rock Hill Mwalimu Kabeya akimpokeza moja wa Mwanafuzi waliomaliza kidato cha nne
Wahitimu Wakisikiliza mkuu wa Shule
Vijana wa skauti wakiwampokea mgeni Rasmi Katibu tawala wa mkoa wa shinyanga wakati wa wahitumu hao.
Karibu Mgeni
Mazumguzo
KWEHERI
KARIBU SANA MKUU
Wazazi
na Walezi wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwekeza zaidi kwenye
elimu ili watoto wao waweze kwenda sambamba na kasi ya mabadiliko ya
Utandawazi.
Hayo yamesemwa na mkurugenzi wa shule ya Sekondari Anderlake Regency Alexandar Kasmil katika Mahafari ya 7 ya kidato cha 4 yaliyofanyika shuleni hapo na kusema kuwa Elimu ya sasa ni tofauti na awali hivyo wazazi na walezi lazima wakubali kugharamika.

No comments: