Mwenyekiti wa Baraza la umoja wa kinamama Bawacha mkoa wa shinyanga Zenna Ghulam mwenye kilemba kichwani na alishika shafu ni mbunge wa Viti Maalum chadema Salome makamba |
Baadhi ya watoto walemavu wa ngozi Albino Wakisikiliza Mgeni Rasmi Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba Chadema . |
Mh Bunge wa Viti maalum Chadema mkoa wa shinyanga Salome Makamba akisisitiza wazazi kuwacha tabia ya kuwakimbia watoto wao bila ya kuona ni kupunguza mapendo kwa mzazi |
Mh Salome akisisitiza jambo la usalama la watoto ambao wamekuwa wakiwa bila ya kuwa na malezi ya wazazi wao huku baadhi ya viongozi wakisikiliza kwa makini meza mkuu |
Baadhi ya watoto walemavu wa ngozi( Albino) wakisikiliza Mh Salome huku wengine wakiwa wamelala chini kwa ajili ya usikivu |
Mmoja wa walemavu wa Ngozi Albino Akisikiliza Hotuba ya Mgeni Rasmi Mbuge wa Viti maalum chadema Mh Salome Makamba kwenye Ukumbi wa shule hapo |
Baadhi ya wanafunzi ambao wapo kituo cha kulea watoto wenye ulemavu wa ngozi wakisikiza mgeni Rasmi Mbunge wa Viti maalumu Chadema Salome Makamba Alipowatembelea kituoni hapo. |
Mh Salome Akisisitiza jambo la Huruma kwa kinamama |
Baadhi ya viongozi wa Bawacha wakimsikiliza Mgeni Rasmi Hayupo pichani |
Mwalimu Mkuu Kiongozi Peter Francis Akitoa shukrani kwa Mbunge Wa Viti Maalum Chadema Salome Makamba kwa Msaada wao |
Moja wa kijana Masunga Maduhu Mlemavu wa Ngozi Akitoa Shukrani kwa niaba ya wezake kwa msaada walipewa na Baraza la Bawacha Mkoa wa shinyanga . |
Masunga Maduhu ni moja kati ya walemavu wa Ngozi Akipongeza Mbunge Salome Makamba kwa Msaada wao baada ya kuwakabidhi misaada hiyo |
Masunga Maduhu Akisalimia Meza Kuu baada ya kutolewa misaada kwenye Kituo hicho. |
Mh Mbunge Salome makamba akiwa na baadhi ya watoto wenye ulemavu wa ngozi katika picha ya pamoja |
Mwalimu kuu kiongozi Peter Francis,Mbunge salome makamba akiwa amebeba mtoto kati ni mwenyekiti wa baraza la Bawacha mkoa wa shinyanga Zenna Ghulamm kulia ni mwalimu mkuu msaidizi. |
Mwalimu kuu kiongozi Peter Francis na Mbunge Viti maalum Salome makamba wakibadilisha mawanzo nyuma ni mwenyekiti wa Bawacha mkoa Zenna Ghulamm. |
Karibuni Tena |
Ofisi za chadema mkoa wa shinyanga |
picha ya pamoja Mh Mbunge Viti maalum Salome makamba kati na viongozi wa Baraza la Bawacha |
shinyanga
Mbunge Salome
Makamba amewataka wanawake kuwa na uchungu na watoto wao huku akilaani vitendo
vya kuwatelekeza katika kituo hicho hali ambayo amedai ni kuwanyima haki yao ya
msingi ambayo ni malezi ya mzazi.
Hata hivyo ameahidi
kupigania haki za walemavu hao kokote atakapokuwa kwa nafasi yake kama mbunge
ikiwa ni pamoja kulipeleka katika ngazi za juu za serikali ambayo kwa nafasi
yake pia itahakikisha kero
zinazowakabili watoto katika kituo hicho na katika jamii zinakoma.
Awali akimkaribisha
Mbunge Makamba mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa CHADEMA BAWACHA Manispaaa ya
Shinyanga Zena Gulam amedai kuguswa na changamoto hizo lawama akizipeleka kwa
wanawake ambao ndio walezi wa watoto kuwatekelekeza watoto haokatika kituo
hicho kwa kigezo cha Ulemavu huku
akiiomba serikali kuchukua sheria mathubuti kwa wale wataobainika kutekeleza
vitendo viovu dhidi ya walemavu hao.
No comments: