| Mh salome makamba akiwa na Mama mzazi Mama Mkamba , Mzaha chema Anges ambaye ni Bibi Arusi Mtarajiwa Hayupo pichani |
| Bibi Arusi Mtarajiwa Anges Makamba Kati akiwa na Familia na kaka yao huku Mh salome akiwa ashika mtoto wake |
| Bibi Arusi Mtarajiwa Anges Makamba akiwa katika pozi lake |
| Bibi Arusi Mtarajiwa Anges Makamba akiwa na marafiki zake nyumbani kwao shinyanga |
| Mabest Wa Bibi Arusi Mtarajiwa wakiwa katika pozi lao pamoja |
| Bibi Arusi mtarajiwa Anges Makamba kati akiwa na mabest wake. |
| Bibi Arusi Mtarajiwa Anges Makamba Akiwa katika pozi na Marafiki zake |
| Mmoja jamaa waliodhuria shughuli ya Dada yetu mpendwa Anges Makamba |
| Mambo ya makuli hapo |
| Pozi la Anges la Misosi hapo Home |
| Bibi Arusi Mtarajiwa Akiwa Katika pozi la misosi ya nguvu |
| Weeee Chenzea Best hapo akiwa na pozi na Rafiki yake Lyidia |
| Kaka Dada Bibi Arusi Mtarajiwa na Mh Salome Makamba Dada Mkubwa Home hapo |
| Hapo ni Bibi Arusi Mtarajiwa na Bwana Arusi Mtarajiwa mji shinyanga wakiwa na sura za tabasamu cheeezee weeeee sukuma, Moja. |







No comments: