|
Anges Kazinja akiwa Hospital akipatiwa matibabu muda mfupi alipoteza maisha baada ya kuvuja damu kwa wingi . |
|
Nyumbani kwa Afisa Ardhi wa kahama Yusufu Luhumba ambapo wezi walivamia majira ya asubuhi na kumchoma kisu Anges kazinja wakati akifua nguo nyumbani kwao. |
|
hii ndiyo nyumba ambayo wezi walipovamia asubuhi nyumbani kwa Yusufu luhumba |
|
Hili ndiyo eneo ambalo marehemu Anges alianguka wakati anaomba msaada kwa majira mama Asha akionyesha eneo ambalo anges nguvu zilimuishia na kuanguka chini. |
|
Nguo ambazo marehemu Anges alikuwa akifua nyumba kwa shemeji yake Yusufu luhumba |
|
Baadhi ya majira wa eneo lilotokea tukio la mauji wakiwa katika wakati mgumu wasijue la kufanya |
|
Vyombo ambavyo Anges kazija alikuwa akivitumia kufua nguo kwenye uwa wao ndipo wezi walivamia eneo hilo |
|
Mmoja ya Mtuhumiwa wa wizi na mauji Nestory maganga akiwa na wezake ambao waliwenza kutoloka muda mfupi tu baada ya jeshi la polisi kufika eneo la tukio nyakato mjini kahama |
|
Mtuhumiwa Nestory maganga akiwa hospital ya wilaya ya kahama baada ya jeshi la polisi kuokolewa na jeshi la polisi na watu wenye hasira kali . |
|
Baadhi ya wananchi waliofika hospital ya wilaya ya kahama kuliona hilo lituhumiwa wa mauji wa Anges kazinja kwa kumchoma na kisu. |
|
Mmoja ya Mtuhumiwa wa mauji ya Anges kazinja likiwa hospitali ya wilaya likisubiri kupata matibabu baada ya wananchi wenye hasira kali kupiga kwa mawe na fimbo. |
Kahama
Mwanamke moja mkazi wa kata ya nyasumbi wilayani kahama mkoani
shinyanga Agnes kazinja (18)Auwawa kwa kuchomwa na kisu ubavu wa kushoto na
watu wanasadikiwa kuwa ni wezi majira ya asubuhi saa 3.45.nyumbani kwao kwa
lengo la kufanya uharifu.
Akiongea ofisi kwake kaimu kamanda
wa jeshi la polisi Dismas kisusi ofisi
kwake alisema kuwa tukio hili limetokea majira ya asubuhi saa 3.45 maeneo ya nyakato kata ya nyasumbi wilayani
kahama,nyumbani kwa mfanyakazi wa idara ya Ardhi yusufu Luhumba.
Aidha kamanda wa polisi alizidi kusema
kuwa msichana huyo alikuwa kwa Dada yake
ametokea shinyanga kwa ajili ya mapumziko, ambapo alikuwa amemaliza kidato cha
nne mkoani shinyanga mwaka jana.
No comments: