![]() |
| hili ndiyo jengo la bucha la kisasa mjini kahama |
![]() |
| Baadhi ya majokofu ya kuhifadhi nyama tayari kuliwa na mteja |
![]() |
| Nyama ambayo imekwisha andaliwa kwa kuuzwa na ipo na viungo vyote hakuna kuosha nyama tena hapo ni kupika tu . |
![]() |
| Mmsana mteja wetu oja ya wanyakazi wa Bucha hii mwajuma akiwa katika majukumu yake ya kila siku mwenye sura ya tabasamu karibu |
![]() |
| Mkurungezi wa Geongia Bucha Ruhinda akionyesha baadhi ya watu jinsi nyama inavyoifadhiwa katika majokofu baada ya kutoka katika machinjio na kuhifadhiwa kwa usalama zaidi |
![]() |
| Hizi ni baadhi ya nyama ziliwekwa katika jokofu maini |
![]() |
| Mkurungezi wa Georgia Bucha,Ruhinda Akitoa maelezo juu ya matumizi ya mashine za kukata nyama kwa wateja wake waliotembelea bucha hiyo . |
![]() |
| Mkurungezi wa Georgia Bucha Ruhinda akitoa maelezo juu ya mradi huu kwa wajasimilia mali |
![]() |
| Mtalaamu mkuu wa nyama Voster kaguna akionyesha jinsi ya kupima nyama kwenye mzani |
![]() |
| ipo tayari kwa mteja sasa baada ya kupimwa kwa bei iliopendekezwa |
![]() |
| Mmoja ya mteja akiangalia njisi nyama zilivyoifadhiwa katika utaratibu |
![]() |
| Karibuni |
![]() |
| Mtalamu mkuu wa Bucha ya Georgia Voter kaguna akionyesha moja moja ya masheni ya kusanga nyama kwa mashine ambapo vinauzwa hapo pia |
![]() |
| Eneo ya Bucha Kwa nyama bora na salama karibu GEORGIA BUCHA |













