KWA FURAHA NA WATOTO WAKO WALETE PLATINUM RESTAURANT KAMA JINSI MTOTO HUYU ALIVYOKUTWA AKIFURAHI IDD .
Watoto wakibebea siku ya idd
Michezo ya kuseleleka kwa watoto ipo kama jinsi watoto hawa wakicheze mchenzo huu .
Watoto wakiwa katika foleni ya kuingia platinum Restaurant kwenye michezo
Ni furaha tu ya idd platinum Restaurant karibu na familia yako siku za jumamosi na jumapili .
Raha kwali
Watoto wacheza kwenye bwaha la kuongelea na wengine wakingia ndani .
Nyama choma ipo chips kwa watoto na kwa onder mbali mbali za vyakula .
Watoto wakifurahia sikukuku ya idd kwa kula nyama choma na mishikaki
Watoto wakiongelea kama wanavyoonekana wakiwa na sura za furaha siku ya idd .
Wewe wacha platinum Restaurant mtoto huyo akicheza michezo wa kuseleleka /
Bebea kwa watoto wkiwa na furaha
Wewe wacha tu nyama choma mishikaki kama jinsi dada huyo anavyochoma
Bebea Raha sana
Wakiwa na hamu nao ya kuingia ndani ya bwaha la kuongelea kwa zamu
Hii ndiyo madhari ya juu ya majengo ya platinum Restaurant pia kwa vyumba vya ofisi pia vinapatikana karibuni .
Furaha ya watoto wawe mzazi waleteni watoto wenu kurahi pamoja .
Maji mazuri wewe acha tu
Bebea watoto
karibuni wapendwa platinum Restaurant kwa chips nyama choma kama navyonekana mhudumu huyo
Vitafunwa vipo vya watoto kama vile cheulo bis ubuyu na karanga
cheulo biskuti za watoto karanga bis jojo
Moja ya wahudumu akiwa na vitafunwa vya watoto
Sasa kwa huduma ya vyumba vya ofisi
wasiliana nasi kwa namba zifutazo Hamad offices centre
07848440027,0767840027
No comments: