Mwananchi wa Muleba kusini Kagera akimsikiliza kwa makini katika uwanja wa Fatuma #Mabadiliko2015
EZEKIEL WENJE,MBUNGE WA ZAMANI JIMBO LA NYAMANGANA MWENYE SUTI, KATI NI MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA EDWARD LOWASSA WAKITETA JAMBO NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MLEBA KUSINI
Wananchi wa jimbo la Muleba kusini Kagera wakiwa katika viwanja vya Fatuma kumsikiliza mgombea wa urais Edward lowassa #Mabadiliko2015
WAZIRI MKUU FREDRICK SUMAYE WAKITETA JAMBO NA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA MLEBA KUSINI KATIKA VIWANJA VYA FATUMA MLEBA
UMMATI MKUBWA WA WAKAZI WA JIMBO LA MLEBA KUSINI WAKIWA KATIKA VIWANJA VYA FATUMA WAKISIKILIZA SERA ZA UMOJA WA KATIBA YA WANANCHI KUHUSU KUCHANGU WAPINZANI SIYO VITA ALISEMA SUMAYE
WEWE MABADILIKO KILA KONA WATU NI HIVI ASANTE SANA WATU WA MLEBA ASEMA MGOMBEA URAIS EDWARD LOWASSA KATIKA VIWANJA VYA FATUMA MJIN MLEBA
MGOMBEA WA JIMBO LA NYAMANGANA EZEIKIEL WENJE AKIHUTUBIA KATIKA VIWANJA VYA FATUMA MLEMBA .
WAZIRI MKUU MSTAAF FREDRICK SUMAYE AKISISITIZA KUONDOA MADARAKA SERIKALI YA CCM MWAKA HUU KATIKA VIWANJA VYA FATUMA MJIN MLEBA.
No comments: